Eti serikali imeanza kulipa watumishi wake moja kwa moja kwenye account zao kuanzia mwaka jana mwezi wa saba yaani July 2014.
Mwigulu nchemba huyu.
Huyi jamaa kumbe mweupe kweli au ndo desturi ya viongozi wetu.Mibinafisi nimelipwa direct kwenye account yangu kuanzia mwaka july 2008 hadi sasa kupitia account ya NMB nikiwa geita.Na nina ushahidi wa kutosha kuwa kuna washikaji tulikuwa nao chuoni mwaka 2008 hadi 2011 wamelipwa mishahara hewa mudawote ule.
Leo migulu anakataaa kwamba oho waziri huyu hakuwepo.hivi maana yake ni nini kachukua hatua gani sasa yeye baada ya kuyakuta haya.puumbafu!
huyu Chenge ni mtu wa kumkatakata vipande na kuwapa mbwa wale
Elimu hovyo,afya hovyo, michezo hovyo,ajira za mjuano,maliasili zinavunwa ila nchi bado masikini,maofini rushwa kibao,ufisadi wakukifu n.k. hivi tunaviongozi au tuna matapeli?
yaani hata kochomwa moto hafai aisee maana moshi wake utatapakaa juu ya dunia na kila kiumbe hai kitakachopatwa na huo moshi hakika kitaridhi tabia yake.Sio mbwa huyo ni wakuchomwa moto maana mbwa wataingiwa na tabia zake
Mdee kasema huyu mzee ni rafiki yangu lakini leo nimeamua kumtosa kutokana na tabia yake
Naona ccm meanza kuu weweseka Arusha baado subirini kimbungaHuyu ana stress za kuukosa ubunge october 2015.
Asamehewe tu.
cheyo naye aache unafiki si alikuwepo kwenye bunge la katiba akaitetea sasa hivi kaangalia upepo ndio anajifanya kulalamika
.... Nampongeza Sana Chenge Kwa Kupiga Hela Za Wajinga, Ama Kweli Wajinga Ndio Waliwalo. Watanzania Tuendelee Kulala Tu..!
mkuu ungejua mambo wanayofanya hawa wabunge wanaowasema wenzao ungesikitika sana.politics is a dirty games.
Toka auze lile Trekta la wana Arusha nimegundua LEMA akili yake sio nzuri.