Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

acha tuu ajitambe ndugu yangu ila mambo haya siyakujitapa.. ila nimetumia mtoto kwasabau alikua anaongelea watoto na pia sijui jinsia yake usije kuta mwanaume.. aaah kumbe hata wanaume siku hizi wanaeza wakawa michepuke ya wake za watu nlikua nimesahau..

Kuna wanaume ni michepuko ya wame za watu pia.
 
Hata mimi hofu yangu kuu ni hapo, ndani ya ndoa mke anakuwa na mahusiano na vikundi hatari kama vya kibakaji?
Inaonekana hata jamaa asipofankisha zoezi la binti kubakwa, atabakwa yeye na kikundi cha huyo huyo mkewe,
Anyway sikuwahi kufikiri kama ndoa inaeza kuexists kwa style kama hiyo, hapo kuna mkusanyiko wa masela wawili !si mke na mme.

Bro kuwa mwanaume! !!! Anza kukifuatilia hicho kitengo chake cha ubakaji, usifiche, mwambie kabisa utashirikiana na polisi.

mkuu nimesoma huu uzi nikagundua mleta uzi anaish na taizo zaid ya hili aliloleta!!
watu wakaenda mbali na kuita huyo mkewe ni mshenzi, kaona wanamtukania mkewe!!!

kiufupi dada(mke) ni muuaji!! mume atakuja juu lakn huo ndo ukwel!!

moja
hao vijana kulikuwa nini had kafahamiana nao had kajua wanauwezo wa kufanya hayo!?

nikionacho hapa ni kuwa mleta uzi hajui anachokinyenyekea japo yeye anaita heshima,
dhambi imetendeka, anashauriwa aende kanisan anasema hakuna jipya? ni mke kwel huyo? wakat nionavyo mimi wanawake ndo huwa wa kwanza kukimbilia msaada wa kiroho yeye anasema hakuna jipya!
swali ni je jipya kaliona wapi? (kwa wabakaji)
kaka akae sawa, unatafuta reconciliation na shetan!!! tena yawezekana Mungu karuhusu hili atambue moyo wa mtu aliye naye umebeba nini!!
MUME KACHEPUKA, BINTI ABAKWE? so akishabakwa ndo atakuwa hajachepuka?
 
Khaaa. Yaani umenipa hamu afu unaniacha mataa. Zege halilali hehehe. Au nibebe viwemve tukapige chale mtu? For you ntahamisha milima na mabwawa, you know that!
hahahahahahahagahahahahaha uuuuuuuuuwih ulivokuja mpk hasira za kubaka zimeisha!!
 
acha tuu ajitambe ndugu yangu ila mambo haya siyakujitapa.. ila nimetumia mtoto kwasabau alikua anaongelea watoto na pia sijui jinsia yake usije kuta mwanaume.. aaah kumbe hata wanaume siku hizi wanaeza wakawa michepuke ya wake za watu nlikua nimesahau..

Wa kumshauri ni msanii na hako kabinti...mimi hata nikichepuka si mtoto mdogo....acha kunijadili...!!!! tusije geuza huu uzi kuwa wa mipasho...kila mtu ana haki ya kuchangia aonacho kinafaa...wewe ni nani humu kuanza ku evaluate michango ya watu?????????????????????
 
umefanya kosa na umeomba msamaha very right but kumpeleka huyo binti its not right n u will make the wrost mistake kuliko ulivyochepuka
 
Wana JF mnashangaza!

Kuna mada hapa km waliopiga picha za uchi wanafaa kusitiriwa?wengi wenu mlijibu ku nya kuwa hawafai kusitiriwa,hafu humu mnajifanya wote watakatifu kuwa huyo dada ni katili??!!..hamuoni kudhalilishwa kny mtandao ni ukatili pia??....KM ALITEMBEA NA MUME WA MTU AKIJUA NI MUME WA MTU,ABAKWE TU!!
 
broski

Kumwita mke wangu 'mshenzi' siyo jambo ninalofurahia hata kidogo. Uwe na heshima. Kama unaweza kuheshimu mwenza wako ama wazazi wako vivyo hivyo heshima hiyo ivuke mipaka.

Mimi nimetiririka kwamba siwezi kumpeleka huyo binti kwa kuwa ni kinyume na utu (sijaongelea sheria) hivyo unaposoma comments za watu ambao uelewa wao ni tofauti na wako jitahidi kuwaelimisha na si kuwadharau ama kuwatusi.

Ila ushauri wako nimeupokea na msimamo wangu sijaubadili kwa kuwa kosa langu la kwanza halitatuliwi na kutenda kosa la pili.

Mkuu pengine hujui maana ya ushenzi ila ukiutambua pasi na shaka utajua kuwa mkeo ni mshenzi mkubwa!Nasikitika kukuharifu kuwa unaishi na mshenzi ndani.Tena kwa kosa hilo inatosha kumuacha kabisa.
Mke anayejiheshimu vijana wabakaji aliwajulia wapi?Mwanamke katili huyo unawambia watu wamuheshimu ebooooo!.
Segerea inawangoja wewe na huyo mshenzi.
 
Last edited by a moderator:
I know what am doing.
Kingine huwa sitishiwi kibudu namns hiyo. Nimeshamuonya huyo binti aisthubutu kuwasiliana nami na asipokee simu wala texts zangu kwani naamini inawezekana jina langu likatumika kumtia matatani. Na huyo unayemsema ni mdogo wako siye huyu ninayemtaja hapa. yeye ni firstborn kwao na ameniambia nduguze wanamtesa sana na kumdhalilisha. inawezekana wewe ni mmoja wao mnaomfanyia unyama maana text yako imekaa kiunyama unyama vile

Kiufupi ni kwamba nimelileta hapa nipate ushauri na si kutishiwa mwaisha dogo.

Wewe huna lolote mkuu!yahani huyo mkeo anakupeleka puta sana aisee!.Eti ana vijana wake amewaandaa!Ebo unaishi na mke anayelipa wabakaji?
 
Freeland

Pia kama wewe umezoea kuburuzana na mkeo ili akuogope si wote tupo hivyo. Nina msimamo najua hivyo. Suala la mtu kufanya kosa halimjustify kuanzisha vurugu ili kusolve. Akili ikitumika ndo poa.

Akili ya kubaka binti wa watu nakikosi kazi cha mkeo?hicho kikosi kaziunakijua?Mkeo kakusanya wote ambao huwa wanamshughulikia ili waje wamshughulikie binti wa watu
 
Last edited by a moderator:
Hebu anza kumchunguza mkeo uhusiano wake na hao wabakaji maana wanawaza waka wanambaka yeye bila wewe kujua
 
Wakuu mmenifungua akili sana.
Hili suala limenifedhehesha sana ila narudia kusema kwamba sina nia wala kusudio la kuruhusu unyama dhidi ya yule binti ingawa kugomea kwangu kushiriki na kuuzuia mpango huo imeonekana namkwepesha na ninamakusudio ya kuendeleza uhusiano.

Eleweni mzigo wa matukio na mazingira unaonikabili. Mnaonilaumu na kunilaani kwa kuchepuka kwangu siwaoni kama mnanibeza, ni haki yenu maana huo pia (kulaumu) ni ushauri, ila kwa kuwa kibinadamu tunakuwa na mema na mabaya, lakini kikubwa ni kujutia na kuacha mabaya.
 
Ebwana mkuu, jaribu kuongea vizuri na mkeo huyo coz yeye hapo alipo utakuta anahasira na mambo uliyoyafanya na huyo msichana so lolote yy analoliamua anaona sawa na hafikirii mbele kwamba itakuaje na ndiomaana anakushauri ufanye ujinga mwingine wa kumleta huyo msichana il abakwe mbele yake na yako pia, je haufikirii au hauoni kwamba itakuwa ni kesi kubwa sana kwenu nyote?
 
Back
Top Bottom