Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

wanawake wengine bwana sasa akibakwa mbele yake yeye atafaidika nini? ukiona hivyo ujue na mkeo pia acha mchepuko wake
 
Mkuu pengine hujui maana ya ushenzi ila ukiutambua pasi na shaka utajua kuwa mkeo ni mshenzi mkubwa!Nasikitika kukuharifu kuwa unaishi na mshenzi ndani.Tena kwa kosa hilo inatosha kumuacha kabisa.
Mke anayejiheshimu vijana wabakaji aliwajulia wapi?Mwanamke katili huyo unawambia watu wamuheshimu ebooooo!.
Segerea inawangoja wewe na huyo mshenzi.
Aisee huu ushauri umenibadilisha sana kifikra.
Ninafanyia kazi vitu vingi sana sasa, naamini hii hatua itatibu ndoa either iimarike ama isiwepo maana hata punda ukimzidhishia mzigo haongezi hatua tena akizidiwa.

Nashukuru kwa maoni
 
Aisee huu ushauri umenibadilisha sana kifikra.
Ninafanyia kazi vitu vingi sana sasa, naamini hii hatua itatibu ndoa either iimarike ama isiwepo maana hata punda ukimzidhishia mzigo haongezi hatua tena akizidiwa.

Nashukuru kwa maoni

Nilikua nayasubiri majibu yako kwa siku mbili hizi zote!.Nashukuru kuona umelitambua hilo
Mkuu mke mwenyesifa hawezi kujuana na kushirikiana na Magenge ya kihalifu kwa namna hiyo.Mkaloshe kitako akueleze vizuri
 
huyo mkeo laana na yeye, binti wa watu abakwe kwa kipi? si katongozwa kama ulivyomtongoza huyo mkeo mpaka ukamuoa. na nyie wanaume kama mnataka michepuko mue na misimamo kwa wake zenu in case ikigundulika, sio mnakuja kulia lia hapa yakibumbuluka. Kabla hujaanza kuchepuka mbona hukuja kuomba ushauri, sasa vimebumbuluka kwa vile lazy lazy unatulilia hapa. Mwanamme gani usiyeweza kusimamia hoja yako kwa mkeo umekaa unapelekeshwa ka toto jinga... tuondokee hapa. kama huna cha kujitetea kwa mkeo ukichepuka, acha michepuko, mshaambiwa mara ngapi kua michepuko sio dili lakini hamsikii. Dada wa watu hana kosa, wewe ndio unapaswa kubakwa maana ulijua una mke nyumbani ambaye unamuogopa na bado ulimtongoza dada wa watu.
 
Nilikua nayasubiri majibu yako kwa siku mbili hizi zote!.Nashukuru kuona umelitambua hilo
Mkuu mke mwenyesifa hawezi kujuana na kushirikiana na Magenge ya kihalifu kwa namna hiyo.Mkaloshe kitako akueleze vizuri
Mkuu wikend nilikuwa mbali na devices hivyo sikuweza kusoma posts na kuzijibu.
Ila kila ushauri nauchukulia kwa makini, pia naangalia kama kuna point niliisahau niweze kurekebisha pale penye kesoro pia narejea kusema kuwa guyz ushauri wenu ni tafakuri pana kwangu na ninazingatia sana yale positive
 
Wakuu mmenifungua akili sana.
Hili suala limenifedhehesha sana ila narudia kusema kwamba sina nia wala kusudio la kuruhusu unyama dhidi ya yule binti ingawa kugomea kwangu kushiriki na kuuzuia mpango huo imeonekana namkwepesha na ninamakusudio ya kuendeleza uhusiano.

Eleweni mzigo wa matukio na mazingira unaonikabili. Mnaonilaumu na kunilaani kwa kuchepuka kwangu siwaoni kama mnanibeza, ni haki yenu maana huo pia (kulaumu) ni ushauri, ila kwa kuwa kibinadamu tunakuwa na mema na mabaya, lakini kikubwa ni kujutia na kuacha mabaya.

Pole sana kwa unayoyapitia.
 
Nilikua nayasubiri majibu yako kwa siku mbili hizi zote!.Nashukuru kuona umelitambua hilo
Mkuu mke mwenyesifa hawezi kujuana na kushirikiana na Magenge ya kihalifu kwa namna hiyo.Mkaloshe kitako akueleze vizuri

Na mme mwenye sifa huwa hana michepuko anaheshimu viapo vya Mungu so hawa wawili hawana sifa wote acha wakabiliane jinsi akili zao zinavyowatuma
 
......Kabla hujaanza kuchepuka mbona hukuja kuomba ushauri,.....
Mkuu hakuna chuo cha kutongoza na pia kumbuka kuwa kesi zote za jinai huendeshwa kortini ila mipango ya kijinai hufanywa sirini. Thus sijaja kuomba ushauri endapo nataka kuchepuka ila nimepata tatizo ndo natafuta ushauri namna ya kulimaliza tatizo hilo.
 
Wewe ni mwanaume, simama kama mwanaume, sio unapelekeshwa na mwanamke as if wewe ndio umeolewa wakati umeoa. Mwanamme kamili anakua na misimamo yake hata kama amekosa. Mwanamke hawezi kukupa hoja utumbo hiyo halafu unakosa muafaka unaomba ushauri, uanaume wako ni nini? kuvaa suruali na kuchepuka hovyo...!! kama huwezi kutatua matatizo ya kubambwa ukichepuka, acha michepuko. Wanaume kutwa wanachepuka lakini hawaji kuomba msaada hapa wakibabwa maana ni hulka zenu kuchepuka. E=Msanii;12039057]Mkuu hakuna chuo cha kutongoza na pia kumbuka kuwa kesi zote za jinai huendeshwa kortini ila mipango ya kijinai hufanywa sirini. Thus sijaja kuomba ushauri endapo nataka kuchepuka ila nimepata tatizo ndo natafuta ushauri namna ya kulimaliza tatizo hilo.[/QUOTE]
 
Wewe ni mwanaume, simama kama mwanaume, sio unapelekeshwa na mwanamke as if wewe ndio umeolewa wakati umeoa. Mwanamme kamili anakua na misimamo yake hata kama amekosa. Mwanamke hawezi kukupa hoja utumbo hiyo halafu unakosa muafaka unaomba ushauri, uanaume wako ni nini? kuvaa suruali na kuchepuka hovyo...!! kama huwezi kutatua matatizo ya kubambwa ukichepuka, acha michepuko. Wanaume kutwa wanachepuka lakini hawaji kuomba msaada hapa wakibabwa maana ni hulka zenu kuchepuka.
Aisee
Ila nashukuru kwa ushauri
 
Very simple mwambie mkeo,awalete hao vijana wake wakubake wewe yaishe.
 
Nilikua nayasubiri majibu yako kwa siku mbili hizi zote!.Nashukuru kuona umelitambua hilo
Mkuu mke mwenyesifa hawezi kujuana na kushirikiana na Magenge ya kihalifu kwa namna hiyo.Mkaloshe kitako akueleze vizuri

Unataka ajisikie less guilty akati keshamkwaza mkewe...
Kwani wanaokodi wahuni woote nao wahuni???? that is too simplistic ...kuna ugumu gani kukutana na masela wanaotafuta kazi za kufanyizia watu hapa mujini...?????
 
IPO siku mkeo atakuletea hao vijana,wakulawiti alafu asepe zake.
mwanamke mjinga huvunja ndoa yake yeye mwenyewe,Kama ulishamuomba msamaa,na umebadilika ki tabia sasa yeye ana insist nini?
mwambie Kama hawezi kukuamina anymore she better call it off ,instead ya kupanga njama za kishenzi kiasi hicho,kwani huyo bint ndie aliye kutongoza ni wewe ndie ulimtongoza,and you were right because wewe ni mwanaume lijali,sema tu you are not a good player ukanogewa mpaka mkeo akagundua.
OK do this,tell your wife that hayo yalishapita na hauna mawasiliano na huyo Dada tena,Kama hakuamini basi awalete hao wabakaji waje wakubake wewe.period
 
Wewe ni mwanaume, simama kama mwanaume, sio unapelekeshwa na mwanamke as if wewe ndio umeolewa wakati umeoa. Mwanamme kamili anakua na misimamo yake hata kama amekosa. Mwanamke hawezi kukupa hoja utumbo hiyo halafu unakosa muafaka unaomba ushauri, uanaume wako ni nini? kuvaa suruali na kuchepuka hovyo...!! kama huwezi kutatua matatizo ya kubambwa ukichepuka, acha michepuko. Wanaume kutwa wanachepuka lakini hawaji kuomba msaada hapa wakibabwa maana ni hulka zenu kuchepuka. E=Msanii;12039057]Mkuu hakuna chuo cha kutongoza na pia kumbuka kuwa kesi zote za jinai huendeshwa kortini ila mipango ya kijinai hufanywa sirini. Thus sijaja kuomba ushauri endapo nataka kuchepuka ila nimepata tatizo ndo natafuta ushauri namna ya kulimaliza tatizo hilo.
[/QUOTE]

well said pal
 
leo ahsubuhi ninampeleka kazini. Anatoa machozi nikimuuliza hataki kusema, baadaye amenipigia anasema kuwa ninamkwepesha yule binti hivyo bado ana uhakika naendelea naye.

Kiufupi ni kwamba anayo namba yake na wameshawasiliana sana na ameshapafahamu kwao. Najiuliza kwa nini anihusishe mimi ktk mpango wa kijinai?
u r sooo weak! Be man pliz! Sorry to say this!
 
Back
Top Bottom