suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Safiiiiiiiiii napeda watu wenye misimamo kama wewe.
Unajutia nini? Mke wako ni mshenzi wa hali ya juu, na hawa watu wawili waliojibu "mpeleke" huyo binti ni washenzi pia. Jamani kuna watu WABAYA humu JF. Unaokoa ndoa yako kwa kuharibu maisha yote ya mtu mwingine? Napata hasira sana kusoma uzi huu...
Na hata wewe inaonekana wasiwasi yako ipo zaidi kwenye suala la kukamatwa na kutuhumiwa kosa la ubakaji. Sidhani kama kweli unamjali huyo binti maana kama unamjali ungemkomesha mke wako mara moja baada ya yeye kusema binti abakwe mbele yake.
Basi endeleeni na roho zenu chafu, ila namwomba mungu siku ambayo kitu chochote kibaya kitakachotokea juu ya huyo binti kwa sababu ya mke wako, wote muende motoni.