Unataka ajisikie less guilty akati keshamkwaza mkewe...
Kwani wanaokodi wahuni woote nao wahuni???? that is too simplistic ...kuna ugumu gani kukutana na masela wanaotafuta kazi za kufanyizia watu hapa mujini...?????
Mkuu kwa mwanamke mwenyestaha hatawajulia wapi watu wenye haiba ya ubakaji?.Mke anayefanya such agreement hatashindwa kukutoa roho?Hafai kabisa
Ukiibiwa mpenzi wako staha inawekwa pembeni mtu anakuwa mnyama kabisa bora hata huyo kasema mwingine haongei anafanya kinya kimya. Kila binadamu akijeruhiwa moyo ana jinsi yake anavyoreact! Si tumeshihudia waume akifumania mke anamfanyizia dume mwenzake na jamii inaona ni sawa mke mchungu jamii inasahau hata mme ni mchungu wake zenu wa sasa wamefuata roho za baba zao ambao ni nyie mnaolalamika.
Two wrongs do not make a rightSi tumeshihudia waume akifumania mke anamfanyizia dume mwenzake na jamii inaona ni sawa mke mchungu jamii inasahau hata mme ni mchungu wake zenu wa sasa wamefuata roho za baba zao ambao ni nyie mnaolalamika.
Naona watu mnatokwa mapovu......hamjui wamawake wa siku hizi wako liberated sana.....think outside the box.....huyu mke ana fantasies zake za group sex......anataka aone na probably kushiriki.....mzee mpatie mkeo kitu roho yake isuuzike......lol
Ucjaribu hiko kitendo kabisa ni hatari saan na inaonyesha mkeo ni katili
Leo ahsubuhi ninampeleka kazini. anatoa machozi nikimuuliza hataki kusema, baadaye amenipigia anasema kuwa ninamkwepesha yule binti hivyo bado ana uhakika naendelea naye.
Kiufupi ni kwamba anayo namba yake na wameshawasiliana sana na ameshapafahamu kwao. Najiuliza kwa nini anihusishe mimi ktk mpango wa kijinai?
Huo sio ubinadamu, kwani alikulazimisha kuwa nae? Halafu sisi wanawake huwa hatujiongezi tu, badala ya kudeal na tatizo ulilonalo ndani unakwenda kuparamia aliyetobgozwa.
Wewe mume ungekuwa na msimamo huyo dada angekulazimisha? Mkeo a napaswa akae nawewe akueleze madhara ya kutoka nje ya ndoa na akuulize sababu ya wewe kuamua hivyo.
Maana kama ni tabia yako utampeleka huyo binti wa watu atabakwa then utatafuta mwingine mwisho wa siku mtabakisha wangapi? Mwogopeni Mungu hiyo sio suluhu. Mnatakiwa muelezane kilichopungua badala ya kuadhibu wapita njia.