Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Hiyo stori ya kutunga 2 yani m2 aliwe kisewa cz mke cjui anataka nimlete mchepuko.hamna ki2 kma hicho hata kma wife angekua igp kwangu no tena akicheza naoa jumla huo mchepuko

Una mawazo productive unaoa mke mdogo alafu unaamia kabisa duh .. Lazima mlogwe tu aisee
 
Una mawazo productive unaoa mke mdogo alafu unaamia kabisa duh .. Lazima mlogwe tu aisee

Mapenzi ni kusameana kma m2 huwezi kusamehe unaondoka kiroho safi 2,eti nilete huyo mchepuko kwake huyo c mwanaume mana atakua kaolewa huyu.istoshe mwenye kosa n mmewe so wamalizane akiona uchungu anywe dazban au ddt
 
Mapenzi ni kusameana kma m2 huwezi kusamehe unaondoka kiroho safi 2,eti nilete huyo mchepuko kwake huyo c mwanaume mana atakua kaolewa huyu.istoshe mwenye kosa n mmewe so wamalizane akiona uchungu anywe dazban au ddt

Dazban bado ipo ? Umenikumbusha ndugu tangu alipaka dazban kwenye lips za mdomo anatishia kujiua alafu akawa anarusha rusha miguuu hakujua kama akinywa ile ni povu huchukui mda unasepa aisee ni alifutwa mdomo walimshughulikia kisungusini aiseee
 
Dazban bado ipo ? Umenikumbusha ndugu tangu alipaka dazban kwenye lips za mdomo anatishia kujiua alafu akawa anarusha rusha miguuu hakujua kama akinywa ile ni povu huchukui mda unasepa aisee ni alifutwa mdomo walimshughulikia kisungusini aiseee

Pole yke aliona mnamletea shida akawabip dazban inapatikana mamba au mwika mana mimi huwa natuma huko kwa ajili y mchwa wanakula mpka paa huku rauya,so kuna m2 huwa anaifuata mamba
 
Kule mamba inapatikana kwa sababu ya kuweka kahawa ila kuna ile kampuni ya tacri wanasema si nzuri kwa kahawa kidogo imeanza kupotea potea ile kitu achana nayo aisee
 
Hii story kama ni kweli! Basi hapo hakuna mume kuna houseboy tu, yaani mkeo anakwambia umletee mchepuko wako ili ubakwe na vijana wake? Na halafu wewe unachokiogopa ni kwenda korokoroni tu? Ubinadamu uko wapi !?
Wewe unaishi na jambazi huyo
 
Hatakama ana hasira kiasi gani,anachotaka kufanya ni uhalifu na kosa la jinai.
Ukisaidia watimize lengo lao nyie wote ni accomplices na mtahukumiwa kwa ubakaji.
Plus huo ni ukatili!
 
Huyo binti sna kosa gani had abakwe ???huyo mkeo fyatuu nn yeye hatoki sasa nje ya ndoa??kumbuka mlitakana wenyewe na ka umeamua kumuacha bas so apewe adhabu ya kubakwa
 
Mkutanishe huyo mchepuko na wife ili amdhibitishie kuwa hauko naye tena ila mwambie wife asije akaandaa hiyo timu ya ubakaji maana wote mnaweza kuishia lupango
 
MREJESHO
Baada ya kuweka kesi yangu hapa nilipata mawazo mengi yanayojenga na hatimaye niliongezeka ujasiri. Ingawa mkosaji ni mimi lakini sikuona maana yeyote ya kutekeleza matakwa ya wifey as collateral ya umaluuni wangu.

Namshukuru sana Mwana JF mmoja aliyenijenga kifikra, dada huyu sitamsahau maishani kwani aliamua kubeba jukumu yeye mwenyewe na akawa ananishauri bila kuchoka na hata nilishare naye vitu vingi vya msingi ambavyo hata yeye alishangaa kuwepo na hayo mambo. Unajua mostly inaonekana WANAUME tuna makosa sana kutoka nje ila kuna slightly errors ambazo wake zetu wanafanya ambazo zinakupeleka moja kwa moja nje ya mipaka ya viapo vya ndoa.

Hivi sasa ninavyoongea mke wangu amepoa na ameacha vitisho vyake na hakuna tena kuvurugana ingawa hali inatulia kwa muda na kulipuka tena lakini kadiri siku zinavyokwenda ndivyo anazidi kuwa mpole. Ameelewa hatari ya kufanya kosa kama ngazi ya kurekebisha kosa la awali.

Nawashukuru sana JF mmenisaidia kisaikolojia na kuokoa ndoa yangu isisambaratike...
 
Nominomi

Nimejaribu kumsihi sana mke wangu kwamba pamoja na yote mimi ndiye mkosaji lakini yeye anashikilia msimamo kwamba kwa nini binti yule akubali kulala na mimi huku akijua kuwa nimeoa?

Nimejaribu kumwomba tukaombewe kanisani hasa mimi ili nisirejee upuuzi ule anasema huko hakuna jipya na msimamo wake ni ule ule. Ila ukweli nimemuudhi pamoja na kwamba ana hasira lakini utu wema ni silaha dhidi ya dhambi.

Yaani huyo mkeo ni katili alafu hataki kujiongea, naungana na nomonomi, wanawake tujitambua na tuwe na busara ya hali ya juu katika kusolve issues, amenikera huyo mkeo na nakuonea huruma sana, maana mmeumbwa kuchepuka kwa staili hiyo mtawabaka wangapi?
 
Narejea kutoa shukrani zangu za dhati kwa JF na members mliohusika kunisaidia kwenye hili tatizo lililotokana na uchepukaji wangu.

Namshukuru NamnyakNancy kipekee kwa kutoa muda wake mwingi sana kunishauri, kunijenga kisaikolojia na hatimaye kufikia matengenezo mazuri ya mahusiano baina yangu na mke wangu. Nimejifunza vitu vingi kwake na ninaamini kwamba mdada huyu kwa vyovyote mumewe (sijui kama ameolewa au la) atakuwa amebahatika kupata partner bora maishani.

Maisha yanasonga mbele
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini baada ya kumuuliza aendako,tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa.

Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba.

Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike.

Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea.

Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa.

Anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.





......mkeo mshenzi, kwanza hao vijana wabakaji malofa na wapumbafu amejuana nao wapi!! jiongeze tutakuswela ndani afu anayekupa masharti ya kijinga awe free kwa vijana wake wabakaji
 
Huo sio ubinadamu, kwani alikulazimisha kuwa nae? Halafu sisi wanawake huwa hatujiongezi tu, badala ya kudeal na tatizo ulilonalo ndani unakwenda kuparamia aliyetobgozwa.

Wewe mume ungekuwa na msimamo huyo dada angekulazimisha? Mkeo a napaswa akae nawewe akueleze madhara ya kutoka nje ya ndoa na akuulize sababu ya wewe kuamua hivyo.

Maana kama ni tabia yako utampeleka huyo binti wa watu atabakwa then utatafuta mwingine mwisho wa siku mtabakisha wangapi? Mwogopeni Mungu hiyo sio suluhu. Mnatakiwa muelezane kilichopungua badala ya kuadhibu wapita njia.

kweli kabisa,huyo mkeo ni anaroho mbaya tena ya kiukatilii nakusikitikia sana kwa kukusea kumuoa maana huyo mwanamke anaweza kuja kukufanyia kitu kibaya na cha kinyama sana maishani kuwa nae makini sana,na wala hana akili maana ameshindwa kutambua kwamba huyo mwanamke alitongozwa kama yeye ulivyomtongoza tena labda mtoto wa watu alikataa ila wewe mwanaume ukazidi kumshawishi mpk akakubali,hana kosa mwenye kosa ni wewe maana hata akibakwa kama kuchepuka utachepuka tena tuu so mtawabaka wadada wa ngapi?hana akili maana angekuwa analijua hilo angedeal na wewe wala sio michepuko yako.shenzy kabisa kwa mkeo hawa ndio wale wanawake wanaowatesega mahouse girl tena anatakiwa ashtakiwe achukuliwe sheria,anaroho mbaya sana
 
Narejea kutoa shukrani zangu za dhati kwa JF na members mliohusika kunisaidia kwenye hili tatizo lililotokana na uchepukaji wangu.

Namshukuru NamnyakNancy kipekee kwa kutoa muda wake mwingi sana kunishauri, kunijenga kisaikolojia na hatimaye kufikia matengenezo mazuri ya mahusiano baina yangu na mke wangu. Nimejifunza vitu vingi kwake na ninaamini kwamba mdada huyu kwa vyovyote mumewe (sijui kama ameolewa au la) atakuwa amebahatika kupata partner bora maishani.

Maisha yanasonga mbele

Asante ndugu yangu karibu saana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom