Ndugu sijui ulijichanganya wapi hadi mkeo akajua. Usitegemee hata siku moja ukimfanyia chochote hata ikibidi huyo mchepuko kubakwa mbele yako atakurudisha imani na amani kupatikana.
Ngoja nikuulize,Je, aliona sms au alikukamata red handed? Ikiwa alikukamata red handed sawa, lkn ikiwa aliona sms pekee, ulitakiwa kukataa mmkabaki kubishania sms kuliko huko mlikofika. Na hata kama alikuona tu hamkuongea naye ungeweza kukataa sio wewe topic ikabaki kuwa ni wewe, hapana sio.
Kukubali kwako ni kosa kubwa na hatakaa akusamehe maishani mwake. Wanawake hawapaswi kupewa ukweli.
Sasa usijaribu kumkutanisha mkeo na huyo former mchepuko wala kumpa more details. Mwambie umemwacha na hiyo issue inaishia hapo. Ukiendelea kusikiliza anachokutaka utaamuumiza mtoto wa watu kwa tamaa na uzembe wako. Wewe ulimtamani, kakupatia, sasa unataka kufanya uzembe umuumize mtoto wa watu