snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,322
Gives me an idea!!Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishania anuani na tukawa tunawasiliana.
Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.
Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.
King'asti ukuje!!
Last edited by a moderator: