Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

Mwambie akupeleke wewe ukafanywe kwa sababu wewe ndio chanzo cha tatizo.Acha kujishobodoa nenda ukaliwe
 
Msanii kosa hali tatuti kosa...angali usifanye makosa mawili... Lako ni lako!! ghadhabu na hasira za mkeo potezea kwa fidia ingine!!!! $
 
Last edited by a moderator:
Mkeo kakushinda mkuu. Seriously. Find a way to handle her, she's a woman for chrissake. Kwanini akupande kichwani hivyo?

Sema na we faallaaa sana, umechepuka kijingajinga.
 
namba moja;
Kama mkeo ana roho ya kuweza kumfanyia hivyo mwanamke mwenzake bac in one way or another una haki kabisa ya kutoka nje ya ndoa pindi unapopata chance.

namba mbili:
hao vijana aliowaaandaa aliwajulia wapi na alijuaje kuwa wana uwezo wa kushiriki uchafu kama huo? my educated guess ni kuwa walishawahi "kumbaka" kwa hiari yake

namba tatu:
unategemea mtu yeyote atakwambia/kukushauri umpeleke msichana huyo akabakwe?? kama yupo mfanyie booking ya muda milembe hospital na booking ya kudumu kwa Mr. Satan Jehanam
 
Duh mkeo atakua na kidudu kichwan c bure tena na ww unakua km dume bw*g kua na msimamo ckunyingne atawapa kaz hao watu wake wakugeuze na ww.
 
Hiyo ndio technique ya shetani, anatafuta kaupenyo kakuingilia kwenye ndoa na akishapenya tu mwenzio au wewe utafanya dhambi moja which will ultimately lead to a series of sin na mwisho wa siku ni KIFO!
The devil hates marriage cos ndio msingi kabisa wa nchi, ndoa ikiharibika likelihood ya watoto kuharibikiwa ni kubwa mno cos watakosa malezi ya msingi, watoto wakiharibikiwa taifa linahaeibikiwa ambao ndio mpango mkuu wa hako kamjamaa.
Sasa kwa hii situation naona mkeo anajaribu kutafuta dawa kwa aliyemroga, mtapewa sumu!
Ushauri uliompa wa kurudi kwa Mungu ni mzuri, wasiwasi wanfu ni je ulimaanisha? Kwa sababu ss binadamu tukishikwa pabaya tutasema lolote lile ili tuachiwe.
From now on matendo yako ya reflect ulichokisema. Mbebe na kumpeleka kwenye seminars za ndoa, tafuta washauri wa ndoa mpeleke bila kumtaarifu na vitu kama hivyo.
I understand marriages can be so stressful at times na hapo ndipo tunapohitaji hekima, uelewa na maarifa which can be acquiered through learning,, badala ya kutafuta suluhisho za haraka haraka kama hiyo uliyochukua na hiyo ambayo mkeo anataka kuchukua
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.
 
Rudi tena mwambie hujachepuka kwani alijufunania? Unakubalije kirahisi hivyo na hali hujafumaniwa? Mwambie mkeo ulikubali tu kwa sababu uliona ana hasira lakini si kweli. Ukitoa mtu kafara utakuwa umeaibisha team michepuko .kwani we ndo wa kwanza kuchepuka? Watu wanahonga meli,wengine wanahonga wilaya we unababaika!

Ha ha mtu unafumwa na unabisha kwani kaikuta ndani eeeeh
 
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.[/QUOTE

Inaonekana unaongozwa na mke wako ww kama ulishakiri kosa hayo yote yanatoka wapi halafu huyo mkeo ni mvivu wakufikir hv atawabakisha wangapi au anadhan kufanya hivyo ndio kumaliza tatizo na kwann usibakwe ww ulietongozwa co mstaraabu kbs hajui akili za wanaume huyo atapata aibu kuna mwengine alijifanya anajua akampiga mchepuko wa mme na mme akaamua kuowa kbs yy akaachwa
 
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini (baada ya kumuuliza aendako). Tulibadilishana anuani na tukawa tunawasiliana.

Binti mwenyewe ni mrembo na ameumbika ki-kike haswaa. Sasa siku tuliyoonana tena nikajiona ---- sana kumuachia hivyo nikaimba beti chache na hatimaye nikatusua mtoto. ikumbukwe hapo nimeoa. Baada ya mchezo ule nilijuta kiasi ila nikanogewa tukawa tunabanjua amri ya sita kila mara bila kutambulika. Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha, hatimaye nikagundulika na wife kwamba nakimbia mwenge nje ya chumba. Moto uliowashwa daah sitausahau. Nahisi binti alikuwa ameniwekea kitu nijione nafanya jambo sahihi na baada ya kugundulika na wife ndo nikagundua upuuzi nilioufanya na almanusura ndoa ivunjike. Ila nimemsihi sana wife anisamehe na sitarudia tena. Mke tunaendelea kuishi wote ila bado haniamini kwa hayo yaliyotokea. Kiufupi ni kwamba nilitopea baada ya kuona nyumbani nakumbana na full stress na nakosa faraja, amani na upendo hivyo nikajiona nipo right kabisa kufanya dhambi ambayo leo naijutia.

Sharti alilonipa ni kwamba yeye ameandaa vijana wake hivyo nimlete yule binti ili abakwe mbele yake na kadhalika. Kitu hiko nimemwambia ni kinyume na utu na ni kuvunja sheria, ugomvi umeanza upyaaa. anasema kuwa namkwepesha huyo binti kwa kuwa nampenda. Naomba ushauri nifanyeje hapo maana ingawa najutia kosa langu lakini sipendi kutenda kosa la unyama kiasi hiki.[/QUOTE

Inaonekana unaongozwa na mke wako ww kama ulishakiri kosa hayo yote yanatoka wapi halafu huyo mkeo ni mvivu wakufikir hv atawabakisha wangapi au anadhan kufanya hivyo ndio kumaliza tatizo na kwann usibakwe ww ulietongoza co mstaraabu kbs hajui akili za wanaume huyo atapata aibu kuna mwengine alijifanya anajua akampiga mchepuko wa mme na mme akaamua kuowa kbs yy akaachwa
 
Huyo mkeo atakuja kukua cku moja ana roho ya ukatili sana ningekuwa me ningemwambia sasa namuoa kabisa huyo binti ili ukasirike vizuri me nilishasema mwanamuke ni marufuku kunipeleka kama gari bovu hata kama Nina makosa.
 
Ubakaji ni hatari sana na ni ukatili wa hali ya juu sana. Jitahidi usiruhusu hilo litokee na pia kua makini na mkeo anaweza akawa tempted akakuua aisee kwani leo umejaribiwa wewe na je akijaribiwa yeye akachepuka unajua nini kitatokea?
 
Msanii
Kati ya wewe na mkeo nani kamuoa mwenzake maana hilo ni jambo la kwanza kuelewa kabla ya kukusaidia kimawazo
 
Binti yangu wa kuzaa awe nyumba ndogo?...God forbid!
Sina mtoto wa kike lakini ningekuw naye wimbo wangu ungekuwa 'waume za watu ni sumu'...mara mia apige umalaya wote lakini si na waume za watu...nikujiwekea nuksi maishani...

usitukane mamba wakati bado hujavuka mto ndugu yangu!!!
unaeza ukampata huyo wa kike na ukaimba nyimbo zote ukapiga sana na bado akawa mchepuko tuu tena wa wengi.
 
Naona watu mnatokwa mapovu......hamjui wamawake wa siku hizi wako liberated sana.....think outside the box.....huyu mke ana fantasies zake za group sex......anataka aone na probably kushiriki.....mzee mpatie mkeo kitu roho yake isuuzike......lol
 
Muulize mke wako kistaarabu tu, kwamba kafahamianaje na kundi la wabakaji??

Hata mimi hofu yangu kuu ni hapo, ndani ya ndoa mke anakuwa na mahusiano na vikundi hatari kama vya kibakaji?
Inaonekana hata jamaa asipofankisha zoezi la binti kubakwa, atabakwa yeye na kikundi cha huyo huyo mkewe,
Anyway sikuwahi kufikiri kama ndoa inaeza kuexists kwa style kama hiyo, hapo kuna mkusanyiko wa masela wawili !si mke na mme.

Bro kuwa mwanaume! !!! Anza kukifuatilia hicho kitengo chake cha ubakaji, usifiche, mwambie kabisa utashirikiana na polisi.
 
usitukane mamba wakati bado hujavuka mto ndugu yangu!!!
unaeza ukampata huyo wa kike na ukaimba nyimbo zote ukapiga sana na bado akawa mchepuko tuu tena wa wengi.

Mtoto unaenda mbali sana , yeye mwenyewe anaeza kutana na wazee wa sound, akapigwa mtongozo wa heshima akajikuta yuko kwenye mahusiano na mume wa mtu, tena akiwa nafull details za kutumika kimchepuko!!

Binadam ameumbwa kuonyesha uhodari na umaarufu mbele ya kadamnasi, nafsi zetu ndo zinajua udhaifu mkubwa tulionao.
 
acha tuu ajitambe ndugu yangu ila mambo haya siyakujitapa.. ila nimetumia mtoto kwasabau alikua anaongelea watoto na pia sijui jinsia yake usije kuta mwanaume.. aaah kumbe hata wanaume siku hizi wanaeza wakawa michepuke ya wake za watu nlikua nimesahau..
 
Back
Top Bottom