Ucjaribu hiko kitendo kabisa ni hatari saan na inaonyesha mkeo ni katili
Usije mpeleka kabisa,sasa mkuu samahani , mkeo ulimkuta Bikira ? kama siyo basi atulie tuu.
Ucjaribu hiko kitendo kabisa ni hatari saan na inaonyesha mkeo ni katili
Binti akienda kushtaki polisi itakuwaje? hapo ndo hofu yangu ilipo
Miaka mitano ktk ndoa...Mwambie aweke kiapo kuwa mwanae akikosea hivyo nae abakwe. Mmh una muda gani na huyo mkeo? Nakushauri ishi nae kwa akili
Hahahaha hayo nilishamweleza sana hata kabla ya kudumbukia mtaroni. Nilikuwa namwambia kwamba kunistress siyo deal na inaniumiza.Kakangu eeeh mwambie mkeo kila nikirudi home stress kibao nikaona nijipoze huku...ili aone kuwa yeye ndo chanzo cha wewe kutoka nje ya ndoa
Hahahaha hayo nilishamweleza sana hata kabla ya kudumbukia mtaroni. Nilikuwa namwambia kwamba kunistress siyo deal na inaniumiza.
Huwa ni mtata hata kwa nduguze na rafikize.
Binti akienda kushtaki polisi itakuwaje? hapo ndo hofu yangu ilipo
Muulize mke wako kistaarabu tu, kwamba kafahamianaje na kundi la wabakaji??
Hiyo ni moja ya makucha yake ni katili, wa hivyo anaweza kuchinja mtu isee. Mwambie utafikiria halafu unyamaze jumla uone kama atakuacha. Mwache alie wee atanyamaza. Ila pia usiache kumuonya huyo binti awe makini nae, anaweza kumdhuruMiaka mitano ktk ndoa...
Ninaomba ushauri hapa maana kwa akili zangu nimegota, nikienda hatua ya pili anaweza akajilaumu kwa msimamo wake na mimi huko sitaki kufika natafuta suluhu daima