Ndu wa kweru
JF-Expert Member
- Nov 18, 2021
- 445
- 1,121
Mjini hapa,kuwa makini hakuna vya bure.mtu humjui unampatia tu taarifa zako
Yesu alikung'utwa misumari msalabani baada ya kuchezea kipigo usiku kuchaYESU ndo Suluhisho la hayo matatizo ndani ya sekunde na ni bure! Kama upo tayari ni PM nikupe namba ya mtumishi akuombe na uwe delivered from Evil spirits
FaizaFoxy karudi mtajua hamjui. Tangu JMP a rest in peace sikuwahi kumwona FaizaFoxyKaomba ushuri hajaomba kubishana na mtu. Kama una ushauri mpe kama hauna kaa kimya.
Uko sahihi sana mkuu hatojutia...YESU ndo Suluhisho la hayo matatizo ndani ya sekunde na ni bure! Kama upo tayari ni PM nikupe namba ya mtumishi akuombe na uwe delivered from Evil spirits
Yes maana hayo maroho ya shetani huwa yakija kwa Yesu lazima ya surrender! That Name Jesus Is so Powerful tena ni dakika sifuri tu!Uko sahihi sana mkuu hatojutia...
Nipo sana, nachachafya humu ndani. Naopolewa sana humu kwa kuuweka ukweli tu.FaizaFoxy karudi mtajua hamjui. Tangu JMP a rest in peace sikuwahi kumwona FaizaFoxy
[emoji16][emoji16] kujiunga hiyo freemason wanaona ni kama kujiunga facebook vile, wajinga sana na bado uswahilini unakuta vitangazo uchwara na bado viongozi wanaona wanaacha tuu, uzuri ni kuwa sehemu za kishua hamna ujinga huu so hapo akili kichwaniHao ni matapeli kama wanaosema Ile pesa tuma kwenye namba hii, jiunge na free mason,
Mkuu mchawi kabla ya kukuloga lazima ayajue majina yako matatu bila kiyajua hawezi kukulogaUnaye mtu ambaye ataweza kunifanyizia mimi? Njoo PM nitakupa majina yangu matatu au manne ukitaka.
Muambie anifanyizie.
Kupigwa kivip kwan nimesema mahal nataka pesa ya mtu au nipeww chochote zaid ya ushaur mbona mnamawazo ya kiwango cha chin mpaka mnahuzunisha yaan mpo negative tu kila kituMimi ninachojua mleta mada katumia stori yake kama PHISHING tu yaaani Chambo ili aweze kuwapiga kiurahisi. Hakuna cha ndugu, wala pesa iliyotumwa, wala mtu aliyeshindwa kugegeda bali ni namna ya kuwaingiza kingi mkapigwe mchana kweupeeee. Kama unabisha ingia PM
Kwaherini
Mpeleke kwenye maombi amefungwaHabari za usiku mnene ndugu zangu,
Nimelazimika kuandika uzi huu kama njia ya kuomba ushauri juu ya rafiki yangu ambae yuko katika sintofaham kali sanaaaaa.
Alitumiwa ujumbe mfupi na mtu aliejiita mtaalam wa nyota na anatoa ushauri wa kuangalia nyota yako buree bila malipo kikubwa uumpe majina yako matatu tu.
Basi swahiba akamtajia ile kumtajia jamaa akasema nimezifunga nguvu zako za kiume mpaka utakaponipa elfu 40 ndio naziachia, jamaa akajua utani tu tapeli huyooo akampuuza sasa kwenda kwa wife mashine hainyanyuki na haijawai kutokea, akajua mawazo na uchovu tu hee week inakatika bila bila tunaenda week ya pili hiii .
Jamaa anamhambisha tu rafiki yangu mara tuma elfu 15 ya mafuta ya majin ili wasaidie kuzirudisha nguvu mara tuma elfu 20 ya uban mashtaka mara tuna elfu tano ya mani mani jamaa amekua kama ngombe wa maziwa anakamuliwa tu naomben mumshau nitafikisha