Yamemkuta, kuweni makini mambo ya nyota

Yamemkuta, kuweni makini mambo ya nyota

Kwa sisi ambao ni magwiji tunaoijuwa shirki nje ndani, ili uweze kumroga mtu au kujirogea mwenyewe mambo yako yanyooke (kama unaamini kwa babu) basi majina yanayotumika ni jina lako na jina la mama yako mzazi.

Kwenye biashara ya ushirikina jina la baba halina kazi.

Kwa hoja hiyo tu nalazimika kusema wewe hii hadithi yako haina ukweli.

Kila siku mnashauliwa muache kupiga punyeto hamsikii sasa effect zake za kuwa mahanisi zikiangaza kujitokeza ndio mnasingizia kurogwa.

Mganga tapeli akiwa na shida ya kutapeli atamtapeli mwanamke na siyo mwanaume, wanawake ndio wateja wakubwa wa waganga na ndio wenye matatizo mengi na ndio mtaji hata wa mitume na manabii wa makanisa ya leo.
Nimekubali wewe ni Mjuvi Mbobevu. Salute kwako.
 
Habari za usiku mnene ndugu zangu,

Nimelazimika kuandika uzi huu kama njia ya kuomba ushauri juu ya rafiki yangu ambae yuko katika sintofaham kali sanaaaaa.

Alitumiwa ujumbe mfupi na mtu aliejiita mtaalam wa nyota na anatoa ushauri wa kuangalia nyota yako buree bila malipo kikubwa uumpe majina yako matatu tu.

Basi swahiba akamtajia ile kumtajia jamaa akasema nimezifunga nguvu zako za kiume mpaka utakaponipa elfu 40 ndio naziachia, jamaa akajua utani tu tapeli huyooo akampuuza sasa kwenda kwa wife mashine hainyanyuki na haijawai kutokea, akajua mawazo na uchovu tu hee week inakatika bila bila tunaenda week ya pili hiii .

Jamaa anamhambisha tu rafiki yangu mara tuma elfu 15 ya mafuta ya majin ili wasaidie kuzirudisha nguvu mara tuma elfu 20 ya uban mashtaka mara tuna elfu tano ya mani mani jamaa amekua kama ngombe wa maziwa anakamuliwa tu naomben mumshau nitafikisha
Ha ha ha ha ha 😜😜
Hakika hata wewe hapa unafanya hiyo Biashara na bandiko lako hili ni promo
 
Sina imani potofu! Mimi Mungu kanisaidia sana katika maisha yangu na bado ananisaidia! Sasa kama imani potofu ningemshauri jamaa atafute mganga! Ila nimemwambia Mungu pekee ndio atamsaidia! Sasa subir watu wengine wanaojua mambo ya kiroho yanavofanya kazi watakavokufunulia!
Mungu Pekee ndo msaada wa huyo jamaa na tatizo lake linaisha kwa sekunde moja kwa Jina la Yesu!
Kuamini huo uongo alioandika hapa pekee ni imani potofu. Unaamini propaganda za kitoto za kiwango hiki na kuanza kumhusisha Mungu na upuuzi huo?

Mungu hajatuumba tuishi kwa ujinga wa namna hii. Na ni upotofu kumweka Mungu kwenye mambo ya kipuuzi yanayoweza kuaminiwa na wajinga.

Tulia kidogo utafakari kisha uone kama unachoamini ni sahihi.
 
Aiseeh..haya bhana! Ngoja tuishie hapa! Upo sahihi kwa asilimia 100%
 
Habari za usiku mnene ndugu zangu,

Nimelazimika kuandika uzi huu kama njia ya kuomba ushauri juu ya rafiki yangu ambae yuko katika sintofaham kali sanaaaaa.

Alitumiwa ujumbe mfupi na mtu aliejiita mtaalam wa nyota na anatoa ushauri wa kuangalia nyota yako buree bila malipo kikubwa uumpe majina yako matatu tu.

Basi swahiba akamtajia ile kumtajia jamaa akasema nimezifunga nguvu zako za kiume mpaka utakaponipa elfu 40 ndio naziachia, jamaa akajua utani tu tapeli huyooo akampuuza sasa kwenda kwa wife mashine hainyanyuki na haijawai kutokea, akajua mawazo na uchovu tu hee week inakatika bila bila tunaenda week ya pili hiii .

Jamaa anamhambisha tu rafiki yangu mara tuma elfu 15 ya mafuta ya majin ili wasaidie kuzirudisha nguvu mara tuma elfu 20 ya uban mashtaka mara tuna elfu tano ya mani mani jamaa amekua kama ngombe wa maziwa anakamuliwa tu naomben mumshau nitafikisha
Samaki, umeamua kutufunga kamba
 
Huna ulijuwalo, ngoja nikufundishe uchawi, kwenye kuroga linatumika jina lako na la mama yako tu.
Sawasipo hapa kubishana naomba msaada kwa rafiki yangu nipe mawazo ya kujenga sio kupoteza muda na kuzid kufanya mambo kua magumu bila sababu tusaidie solution kama unayo
Screenshot_20220506-110230.jpg
 
Dalili za estrogen hormone kushuka hizo .
Hivi bado unatengeneza minara (Telecommunication towers)
Mada hapa hujaielewa? Au unataka kurusha? Haikwepeki, mada ni kusomeshwa ujinga na ushahidi ni hiyo video ipo post namba moja.

Sasa wewe kwa kuanza kuni discuss mimi umejionesha wazi kuwa ujinga uliojazwa nao umekujaa.
 
Habari za usiku mnene ndugu zangu,

Nimelazimika kuandika uzi huu kama njia ya kuomba ushauri juu ya rafiki yangu ambae yuko katika sintofaham kali sanaaaaa.

Alitumiwa ujumbe mfupi na mtu aliejiita mtaalam wa nyota na anatoa ushauri wa kuangalia nyota yako buree bila malipo kikubwa uumpe majina yako matatu tu.

Basi swahiba akamtajia ile kumtajia jamaa akasema nimezifunga nguvu zako za kiume mpaka utakaponipa elfu 40 ndio naziachia, jamaa akajua utani tu tapeli huyooo akampuuza sasa kwenda kwa wife mashine hainyanyuki na haijawai kutokea, akajua mawazo na uchovu tu hee week inakatika bila bila tunaenda week ya pili hiii .

Jamaa anamhambisha tu rafiki yangu mara tuma elfu 15 ya mafuta ya majin ili wasaidie kuzirudisha nguvu mara tuma elfu 20 ya uban mashtaka mara tuna elfu tano ya mani mani jamaa amekua kama ngombe wa maziwa anakamuliwa tu naomben mumshau nitafikisha
Hii movie kacheza Mrisho Mpoto, Gwajima, BASHITE na nani?
 
Hakuna kosa ni jamaa yangu ningekua mimi ningeandika kua ni mimi kwn naogopa nini na humu tunatumua id fake huyu ni jamaa yangu shida zake zangu nimepost muda huu ndio muda ambao niko free najiandaa kwenda kazin week ya pili kwan tulikua tunasikilizia ila jamaa mikwara inakua ming maana tunagoma kutuma pesa sasa anatishia kua atahamisha uume kabisa usiwepo
mkiwa siriazi mambo hayo yataisha.Kwanza apunguze hofu halafu aanze kuchukua hatua.Jamaa aliyefanya anafunguo ya kufunga wenzake wanayo ya kufungua.Yeye si mwisho.
 
Mimi ninachojua mleta mada katumia stori yake kama PHISHING tu yaaani Chambo ili aweze kuwapiga kiurahisi. Hakuna cha ndugu, wala pesa iliyotumwa, wala mtu aliyeshindwa kugegeda bali ni namna ya kuwaingiza kingi mkapigwe mchana kweupeeee. Kama unabisha ingia PM
Kwaherini
 
Kumbe na hivi niko single nampa tu atajua mwenyewe.
 
samakiurembo leo jioni mwambie shemeji anyone halafu avue nguo zote kisha iwekee mkono uone Kama abdala kichwa wazi hatatamani aingie sehemu ya jotro.
 
Mizimu imepanda bei tunailangua kwa bei mbaya sana na ikifika eneo la tukio ina njaa mbaya gharama ya kuilisha na matunzo mpaka imalize kazi si mchezo. Alisikika mganga akimuleza mteja wake.
 
Back
Top Bottom