Yamemkuta, kuweni makini mambo ya nyota

Yamemkuta, kuweni makini mambo ya nyota

Hakuna kosa ni jamaa yangu ningekua mimi ningeandika kua ni mimi kwn naogopa nini na humu tunatumua id fake huyu ni jamaa yangu shida zake zangu nimepost muda huu ndio muda ambao niko free najiandaa kwenda kazin week ya pili kwan tulikua tunasikilizia ila jamaa mikwara inakua ming maana tunagoma kutuma pesa sasa anatishia kua atahamisha uume kabisa usiwepo
Shida zake zako. Kwa hiyo na wewe mashine haisimami?
 
Kwa kutambua hilo kwenyw simu hawawek majina matatu ni nadra kukuta kuna majina matatu ni mawili huyu rafiki ameoa hali ilianza siku hiyo hiyo alipoambiwa nguvu zako nimezifunga maana siku hiyo ndio ilikua mara ya mwisho kupata morning erection na kusimama kwa uume
Nikupe list ya shareholders wa crdb wameweka majina matatu mule
Vipi itamsaidia tena wale pesa ipo anaweza kutaka million ishirini ishirini
 
Suspect everyone and Trust noBody

Mkuu umejaribu kwa mademu tofauti tofauti ukashindwa kwenda mnara...???? naona unasema umetest kwa Mke tu...

Huenda huyo aliyekucheki ni MCHEPUKO wa wife wako,, na hio dawa amekupa Wife wako mwenyewe... so unapotezwa maboya ili Wife agegedwe vyema...

Jaribu kwa mademu wawili watatu wa nje then ulete mrejesho,, au hata Jaribu kuwa angalia akina Mea melone na Mandingo uone kama hujaenda mnara..

Ni ushauri tu...
 
Mkuuu....
Yaani ulicho kiandika kinaashiria kwamba niwewe ndie mhusika kabisa.
Na nitakueleza sababu kadhaa:-
Kosa la kwanza ni pale ulipo andika kwamba tunaenda wiki ya pili hii bilabila.
Kosa la pili ni pale ulipo andika uzi huu usiku mkubwa ikimaanisha jambo hili linakukosesha usingizi.
Kosa la tatu ni hili neno ulilo andika kwamba naombeni tumshauri nitafikisha..[emoji23]
Duh... ume mweka mshaji wazi kiasi hiki? Any way uwasiloshwaji wa tarifa tusijaji sana hata angesema kaka yake ila point ni anahitaji msaada hizi stail tusha zizoea za uwasiloshaji ujumbe ..... kwa Dhani kabisa nimevaa viatu vyake nimeona havinitoshi kw mwenye konection tumsaidie mwamba ... pia ajaribu kumcheki mshana Jr
 
Back
Top Bottom