Yamemkuta, kuweni makini mambo ya nyota

Yamemkuta, kuweni makini mambo ya nyota

samakiurembo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
445
Reaction score
693
Habari za usiku mnene ndugu zangu,

Nimelazimika kuandika uzi huu kama njia ya kuomba ushauri juu ya rafiki yangu ambae yuko katika sintofaham kali sanaaaaa.

Alitumiwa ujumbe mfupi na mtu aliejiita mtaalam wa nyota na anatoa ushauri wa kuangalia nyota yako buree bila malipo kikubwa uumpe majina yako matatu tu.

Basi swahiba akamtajia ile kumtajia jamaa akasema nimezifunga nguvu zako za kiume mpaka utakaponipa elfu 40 ndio naziachia, jamaa akajua utani tu tapeli huyooo akampuuza sasa kwenda kwa wife mashine hainyanyuki na haijawai kutokea, akajua mawazo na uchovu tu hee week inakatika bila bila tunaenda week ya pili hiii .

Jamaa anamhambisha tu rafiki yangu mara tuma elfu 15 ya mafuta ya majin ili wasaidie kuzirudisha nguvu mara tuma elfu 20 ya uban mashtaka mara tuna elfu tano ya mani mani jamaa amekua kama ngombe wa maziwa anakamuliwa tu naomben mumshau nitafikisha
 
Mkuuu....
Yaani ulicho kiandika kinaashiria kwamba niwewe ndie mhusika kabisa.
Na nitakueleza sababu kadhaa:-
Kosa la kwanza ni pale ulipo andika kwamba tunaenda wiki ya pili hii bilabila.
Kosa la pili ni pale ulipo andika uzi huu usiku mkubwa ikimaanisha jambo hili linakukosesha usingizi.
Kosa la tatu ni hili neno ulilo andika kwamba naombeni tumshauri nitafikisha..😂
 
Mtu wa kumuamini ni Mungu wako tu aliyekuumba na kukuweka hapa duniani. Hao binadamu wengine nao wameumbwa na huyo huyo, laiti wangekuwa wanajua mambo ya nyota, si wangejiumba wenyewe siku waitakayo?

Ona Sasa umekutana na wachawi wa nchi... Dah pole Sana.

Usipoangalia utakuwa mtumwa wake huyo mpk anatajirika, utateseka vibaya sana. Kimbilia kanisani kama ni mkristo au msikitini Kwa shekhe kama ni muislamu. Maana hakuna jambo linaloshindikana Kwa Mungu.
 
Mkuuu....
Yaani ulicho kiandika kinaashiria kwamba niwewe ndie mhusika kabisa.
Na nitakueleza sababu kadhaa:-
Kosa la kwanza ni pale ulipo andika kwamba tunaenda wiki ya pili hii bilabila.
Kosa la pili ni pale ulipo andika uzi huu usiku mkubwa ikimaanisha jambo hili linakukosesha usingizi.
Kosa la tatu ni hili neno ulilo andika kwamba naombeni tumshauri nitafikisha..😂
Kaomba ushuri hajaomba kubishana na mtu. Kama una ushauri mpe kama hauna kaa kimya.
 
Habar za usiku mnene ndugu zangu, nimelazimika kuandika uzi huu kama njia ya kuomba ushar juu ya rafiki yangu ambae yuko katika sintofaham kali sanaaaaa.

Alitumiwa ujumbe mfupi na mtu aliejiita mtaalam wa nyota na anatoa ushaur wa kuangalia nyota yako bureeeeee bila malipo kikubwa uumpe majina yako matatu tu .bas swahiba akamtajia ile kumtajia jamaa akasema nimezifunga nguvu zako za kiume mpaka utakaponipa elfu 40 ndio naziachia, jamaa akajua utani tu tapel huyooo akampuuza sasa kwenda kwa wife mashine hainyanyuki nahaijawai kutokea, akajua mawazo na uchovu tu hee week inakatika bila bila tunaenda week ya pili hiii .

Jamaa anamhambisha tu rafiki yangu mara tuma elfu 15 ya mafuta ya majin ili wasaidie kuzirudisha nguvu mara tuma elfu 20 ya uban mashtaka mara tuna elfu tano ta mani mani jamaa amekua kama ngombe wa maziwa anakamuliwa tu naomben mumshau nitafikisha
Pole sana, tia udhu, usali kwa Muumba wako amuondolee rafiki yako majanga, mshauri na yeye asali kwa Mungu wake.
 
Mkuuu....
Yaani ulicho kiandika kinaashiria kwamba niwewe ndie mhusika kabisa.
Na nitakueleza sababu kadhaa:-
Kosa la kwanza ni pale ulipo andika kwamba tunaenda wiki ya pili hii bilabila.
Kosa la pili ni pale ulipo andika uzi huu usiku mkubwa ikimaanisha jambo hili linakukosesha usingizi.
Kosa la tatu ni hili neno ulilo andika kwamba naombeni tumshauri nitafikisha..[emoji23]
Hakuna kosa ni jamaa yangu ningekua mimi ningeandika kua ni mimi kwn naogopa nini na humu tunatumua id fake huyu ni jamaa yangu shida zake zangu nimepost muda huu ndio muda ambao niko free najiandaa kwenda kazin week ya pili kwan tulikua tunasikilizia ila jamaa mikwara inakua ming maana tunagoma kutuma pesa sasa anatishia kua atahamisha uume kabisa usiwepo
 
Mtu wa kumuamini ni Mungu wako tu aliyekuumba na kukuweka hapa duniani. Hao binadamu wengine nao wameumbwa na huyo huyo, laiti wangekuwa wanajua mambo ya nyota, si wangejiumba wenyewe siku waitakayo?.
Ona Sasa umekutana na wachawi wa nchi... Dah pole Sana. Usipoangalia utakuwa mtumwa wake huyo mpk anatajirika, utateseka vibaya sana. Kimbilia kanisani kama ni mkristo au msikitini Kwa shekhe kama ni muislamu. Maana hakuna jambo linaloshindikana Kwa Mungu.
Sawa
 
Hakuna kosa ni jamaa yangu ningekua mimi ningeandika kua ni mimi kwn naogopa nini na humu tunatumua id fake huyu ni jamaa yangu shida zake zangu nimepost muda huu ndio muda ambao niko free najiandaa kwenda kazin week ya pili kwan tulikua tunasikilizia ila jamaa mikwara inakua ming maana tunagoma kutuma pesa sasa anatishia kua atahamisha uume kabisa usiwepo
Sawa mkuu, poleni sana
 
Habar za usiku mnene ndugu zangu, nimelazimika kuandika uzi huu kama njia ya kuomba ushar juu ya rafiki yangu ambae yuko katika sintofaham kali sanaaaaa.

Alitumiwa ujumbe mfupi na mtu aliejiita mtaalam wa nyota na anatoa ushaur wa kuangalia nyota yako bureeeeee bila malipo kikubwa uumpe majina yako matatu tu .bas swahiba akamtajia ile kumtajia jamaa akasema nimezifunga nguvu zako za kiume mpaka utakaponipa elfu 40 ndio naziachia, jamaa akajua utani tu tapel huyooo akampuuza sasa kwenda kwa wife mashine hainyanyuki nahaijawai kutokea, akajua mawazo na uchovu tu hee week inakatika bila bila tunaenda week ya pili hiii .

Jamaa anamhambisha tu rafiki yangu mara tuma elfu 15 ya mafuta ya majin ili wasaidie kuzirudisha nguvu mara tuma elfu 20 ya uban mashtaka mara tuna elfu tano ta mani mani jamaa amekua kama ngombe wa maziwa anakamuliwa tu naomben mumshau nitafikisha
A shortcut is the longest way you were not going...!
 
YESU ndo Suluhisho la hayo matatizo ndani ya sekunde na ni bure! Kama upo tayari ni PM nikupe namba ya mtumishi akuombe na uwe delivered from Evil spirits
 
Mmh sio ikawa kua kama mwanzo maana jamaa ukimwambia bureee tu anapagawa anajua yale yale
 
Back
Top Bottom