Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,315
- 159,415
Uwiiiiiiii twafwaaaaaI can guarantee -ve results under mentioned conditions in prev post
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiiiiii twafwaaaaaI can guarantee -ve results under mentioned conditions in prev post
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa pm hizo , yupo safi ndiyo maana kasema kweli tujichunge bora ufe na ulichonacho hapana kuongezaHizo safari za PM
Kwani vibaya ukumwitajiKwani mimi nimekwambia nina shida nae mtandaoni? Nitamtafuta hukohuko kazini ndio atajua hata yeye ni wa mtandaoni
Hafwiiii mtu aunt yng aligundulika 1989 aliolewa 1992 na mumewe ni -Ve case na wamezaa watoto wawili 1997 na 2000 watoto wote ni -ve na aunt yuko vzr anafanya kaz za kuelimisha kwa waathirika na jamii kupitia NGO flan hv iko nchi za SADCUwiiiiiiii twafwaaaaa
Ndio umuhimu wa hizo dawa zinapunguza uwingi wa virus mwilini hivo kupunguza kabsa hatar ya mambukizi kwa karibu asilimia tisin.Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.
Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.
Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.
Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.
Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
-Kupotezewa wakati.Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe! Ukisema "YALIYOMSIBU' Unamaanisha majanga. Sasa hakupatwa na janga lolote kwasababu hakuhathirika.Ungesema labda. "kaka yangu ana bahati"
Kwani dada mleta majanga unaushoga naye?Nasikia anaetumia dawa hana tatizo. Mwambie kaka yako aache unyanyapaa
Mmmh?Kwahiyo kaka kakutuma umuanzishie uzi?
Na wewe niMwambie kaka yako asubirie after 3 months apime tena alafu nitamtafuta nina shida nae
Ulikuwa hutake care?Kwa hyo kuna watu wanasambaza HIV bure humu jf...! Let me take care
Sent using Jamii Forums mobile app
Uoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.Hapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.
Mbona umejistukia.Bila shaka sio mimi.
-Kaka yako muwazi kwako...anakuambia hadi ya chumbani.