Yaliyomsibu kaka yangu

Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Ndio umuhimu wa hizo dawa zinapunguza uwingi wa virus mwilini hivo kupunguza kabsa hatar ya mambukizi kwa karibu asilimia tisin.
Kama mhusika anatumia dawa vizur na kufuata mashariti.
Nawashukuru sana wanaotupa misaada ya dawa hizi by 2030 kutakuwa no HIV kabsa hapa dunian.
Mana wenye navo watakufa navyo tu tukiwashaur vizur hawatawambukiza wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa uaminifu kwenye mahusiano yetu ndio jambo la msingi, jamani tuwe waaminifu tu. Tatizo hatuwezi kuishi bila mbunye, its too sweet to abstain from.
Uoga juu ya ngoma ndiyo unafanya watu wauogope.


Tuuchukulie kama saratani.
Ukiwa nao unampigia mpenzi wako simu "baby nina Ukimwi".

Au unapotongozwa ukishakubali mwambie lakini nina Ukimwi.
 
Brother`ako amrudie Mungu wake,hii ni ishara kwamba anampenda ana ana mpango naye...hata Mungu anafanya mambo kwa faida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom