Yaliyomsibu kaka yangu

mdogo wangu denda lishakuwa NOMA,mouth,throat cancer etc tena kuna utafiti mwingine ulifanyika bongo under Muhimbili and John Hopkins university
Nawafikishia huu ujumbe wapenda Denda ....kumbe hatuko salama [emoji54][emoji54][emoji54]. ..shukrani
 
Hivi nyuzi zimezidi kipindi hiki kuelekea pasaka kunamtu anapambaniwa na malaika kinyama lakini bado hasikii kutwaa yupo love connect anawaambia I love you crazy tuu.
 
Bonge la script

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yako nae hajaukwaa kweli??

Au walikua hawa do?? mie sijaelewa hii story dada Sky???

kama walikua hawaja do,then kaka yako ni mfano wa kuigwa 😉😉, wanaume wa JF wajifunze sio mnakutana na mdada Vuuuup Kesho yake mna….??
 
Tatizo ni pombe nyama choma na pilipili unasahau responsibilities
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…