Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Kuna watu wanapenda kuandika wasichokijua!!Mkuu Rejao, umerudi kwa kasi naona!! Mwaka mpya huu una mambo.
ehe..hebu nipe habari za hapo NMC, bla bla za viongozi wenu zimeshaanza?
Kuna watu wanapenda kuandika wasichokijua!!Mkuu Rejao, umerudi kwa kasi naona!! Mwaka mpya huu una mambo.
Derimto,Tuko pamoja kamanda wangu niko uwanjani sasa na anayehutubia ni mwenyekiti wa wilaya ya CDM. Na viongozi wengine ndiyo wanaingia sasa uwanjani hapatoshi kwani shangwe nderemo na vifijo.
hahahaha- haya mkuu tunawashukru....Wewe ndiye uliyekurupuka! umeona original post ilivyokuwa imekaa? Sukuruni mods kwa kuiedit!
Wananchi wa Jiji la arusha hawajajitokeza kama kawaida yao katika mkutano huu wa chadema, Watu ni wachache sana sijuii hali hii inamaanisha nini kwa ChademaJamani, tunaomba basi mtoe updates.
Jamani, tunaomba basi mtoe updates.
Jamani, tunaomba basi mtoe updates.
Pamoja na Dermito kuwepo hapo uwanjani,shaka ondosha kwani hata nami nina hatua kidogo sana kuzama ktk maelfu ya wanaCDM waliofurika hapa NMC! Yote yajirio nitasaidiana na Dermito kuwahabarisha.
[COLOR=#FF0000 said:[/COLOR]ndiomzee;3086879]Jamani, tunaomba basi mtoe updates.
Wananchi wa Jiji la arusha hawajajitokeza kama kawaida yao katika mkutano huu wa chadema, Watu ni wachache sana sijuii hali hii inamaanisha nini kwa Chadema