Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

Unafiki tu hakuna cha kuwaenzi wala nini hapo, wamekosa jukwaa la pigia domo wanajitia kuenzi wafu. kwani waliokufa kwa ajili ya maandamano wako Arusha tu??????????? Basi mungu awajalie kuendelea kuwaenzi kila mwaka kama mtaweza(((((WEWE KWA MAWAZO YAKO AYA, ATA WANAO WALE VICHANGA WATAHOJI CREDIBILITY PIA AKILI YAKO PIA KAMA HUNA UJI KTK UBONGO WAKO HASA KM MKUU WA FAMILIA, MAANA KILA UNACHOANDIKA HUMU NI FULL OF PUMBA PIA MASHUDU, DUH UACHE KUTUCHEFUA DAILY UMU JANVINI))))
We mbona hujawi kuandamana? Kwa taarifa yako mi kama mkuu wa familia sitegemei maandamano wala siasa za kinafiki, hata mmeo akishika hii nchi kwangu maisha yataendelea kama kawaida kwani nitatii mamlaka yake na kuishi kwa kufata sheria.
 
nothing like will happen on me lengo langu lilikuwa kujua yaliyo jili huko

walikuwa wangapi waliorejesha kadi

Waliorudisha kati walikuwa wengi lakini wako mchanganyiko kwani chama cha mafisadi walikuwa kama 7+wata5 toka CUF! Na bado kuna waliokuwa wengi wanataka kurudisha kadi ya mafisadi lakini muda ukawa finyu ila waliahidiwa kesho yake MUNGU akijalia wote waende ofisi lengwa na wameapa watafurika pale kurudisha kadi za mafisadi.
 
Hivi inamaana hamkupata picha wakuu mliokokuwa kule Arusha?mnatunyima habari,wengine tulikuwa tunahangaikia sembe hivyo sijui nani alihutubia hadhara ile na hali ilikuwaje hasa mwitiko wa watu?mtujuze na mtuwekee picha kama mlizipata
 
Kumbe kweli hiki ni chama cha wapenda sifa! Huu ni upuuzi wa hali ya juu, badala wawahimize wananchi wachape kazi kuondoa umaskini wao kila siku ni mikikutano tena hasa arusha! Naona viongozi wote wa chadma sasa watakuwa matahiira maana kila mahali wanaandamana wote, majimbo mmepewa lakini hakuna dalili yoyote ya maendeleo zaidi ya kuchochea vurugu kila siku. Najua mtanishambulia sana ila ukweli unauma! Acheni watu wafanye kazi hata ninyi mko kazini maana mnalipwa posho sio bure, na watakaohudhuria hio kumbukumbu ni mbumbumbu wa kufikili

Bila mikutano chama dhaifu kilichounda serikali legelege kitaondolewaje madarakani? Ni kazi ya chama cha siasa kufanya mikutano ya hadhara ili kufikisha ujumbe muafaka na kwa wakati muafaka. Sasa kile chama chako kilichokosa mvuto kitathubutu kufanya mikutano? Mwaka 2015 ni mwisho wenu
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!
Wewe ni mjinga kabisa kakojoe ulale huna unaloweza kusaidia kwenye jamii, pumba mtupu!!!! unafikiri wote ni wajinga kama wewe? you better shutup!! foolish
 
Kumbe kweli hiki ni chama cha wapenda sifa! Huu ni upuuzi wa hali ya juu, badala wawahimize wananchi wachape kazi kuondoa umaskini wao kila siku ni mikikutano tena hasa arusha! Naona viongozi wote wa chadma sasa watakuwa matahiira maana kila mahali wanaandamana wote, majimbo mmepewa lakini hakuna dalili yoyote ya maendeleo zaidi ya kuchochea vurugu kila siku. Najua mtanishambulia sana ila ukweli unauma! Acheni watu wafanye kazi hata ninyi mko kazini maana mnalipwa posho sio bure, na watakaohudhuria hio kumbukumbu ni mbumbumbu wa kufikili
Fikra dhaifu hutoka ktk vyichwa vyenye ubongo dhaifu
 
kumbukumbu ni ishara nzuri hususani kwa mashujaa wetu,ni chimbuko la kututoa woga katika mapambano ya haki dhidi ya batili.
 
Back
Top Bottom