Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

Karibu viongozi wakuu wote wa kitaifa wa CHADEMA wameshawasili Arusha, leo watawaongoza maelfu wa wakazi wa Jiji la Arusha katika kumbukumbu ya mwaka mmoja ya watu waliouawa kikatili na askari polisi, Januari 5, mwaka jana.Maandalizi yameanza hapa uwanjani jeshi la Polisi limetoa baraka zote za mkutano, tutataarifiana kitakachokuwa kinaendelea.

Twawatakia kila la kheri makamanda wote
 
Tupo pamoja makamanda, endeleeni kutujuza na ikiwezekana wekeni na picha hapa.
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

We unaonekana ni mpuuzi!
Mbona Nyerere,Karume na wengineo kuna siku maalumu za kuwakumbuka? Acha hizo mazee. Steve Biko wa SA bado anakumbukwa kwa sababu aliuawa na Makaburu akipigania haki ya Wana-SA.

Soma hii quote ya Steve Biko,"It is better to die for an idea that will live, than to live for an idea that will die." Kumbuka tu kuwa hakika mawazo mema na vitendo vya mtu aliyekufa kishujaa hubakia ndani ya mioyo ya watu na kuwa kichocheo cha hatua nyingine zaidi kuelekea kwenye Ukombozi wa kweli.
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

huna hoja, kama magamba mnataka kuiga mazuri ya CDM hamkatazwi
 
Hadi saa hizi hakuna jipya au wameahirisha kukutana?.
 
ukishakufa umekufa hata wakienziwa haina maana ni wastage of time tu sana sana hao viongozi wa kitaifa wanataka wagawane posho tu na kutafuta sifa over..!

Wewe unawashwa! Kamuone yule jamaa yako akukune. Pengine akili yako itarejea uache kufikiria kwa kutumia masaburi. Utumie ubongo, mtu mzima hovyoooo!!!
 
Viva makamanda kwa kuwaenzi wapigania ukombozi na haki
 
Ebana tujuzane kinachoendelea wakuu mliopo a town nasi japo tufaidi, maana mida inayoyoma,
 
Wawakumbuke kwa vitendo , kwa kuangalia wale waliokuwa wanawategemea na kuwasaidia katika mambo muhimu kama elimu, malazi, matibabu na huduma zingine muhim.
Akhsante sana
 
hawa jamaa + ndugu wa mafisad wa ccm hawatak wasikie harakat kama hizo!ila inshort mmechelewa sana!
 
Kumbe kweli hiki ni chama cha wapenda sifa! Huu ni upuuzi wa hali ya juu, badala wawahimize wananchi wachape kazi kuondoa umaskini wao kila siku ni mikikutano tena hasa arusha! Naona viongozi wote wa chadma sasa watakuwa matahiira maana kila mahali wanaandamana wote, majimbo mmepewa lakini hakuna dalili yoyote ya maendeleo zaidi ya kuchochea vurugu kila siku. Najua mtanishambulia sana ila ukweli unauma! Acheni watu wafanye kazi hata ninyi mko kazini maana mnalipwa posho sio bure, na watakaohudhuria hio kumbukumbu ni mbumbumbu wa kufikili
Nilipoona sijakupata hapo juu, chini naona nimekupata lol!
Tanzania! Tanzania! kwanini unakuwa malaya hivi? kila mtu anakubaka?

Hivi ukibakwa unakuwa malaya?lol

Hii inaonyesha mahali uwezo wako wa kufikiri ulipokwamia...
 
wawakumbuke kwa vitendo , kwa kuangalia wale waliokuwa wanawategemea na kuwasaidia katika mambo muhimu kama elimu, malazi, matibabu na huduma zingine muhim.
naunga mkono hoja hii, wategemezi wa mahanga wasaidiwe
 
tunaendelea kujichangia wenyewe, mtoa mada atueleze wamekusanyika na kama wamekusanyika nini kimejiri.
 
Hueleweki hata unazungumzia nini..umekurupusha na Nepi kuja kuandika hata hujuini kinacho endelea....
Wewe ndiye uliyekurupuka! umeona original post ilivyokuwa imekaa? Sukuruni mods kwa kuiedit!
 
Back
Top Bottom