Hili ni balaaa si kitoto..!!
Nawashukiru sana team kampeni ya UKAWA kutokuendelea na mkutano huo ili kuzuia Maafa kama ya Uarabuni. Lazima utafutwe uwanja mwingine na siku nyingine ili wanatang wapate neno la Ukombozi.
BACK TANGANYIKA
kweli kwa hapa lazima kiushuzi kimtoke sijaona mahali lowassa kapata mapokeo madogo zaidi ya katavi tu sehemu nyingine zote mafuriko ya maana. Sehemu zilizonifuraisha ni dodoma, tanga, kahama, shinyanga, geita rukwa ambazo ndo ngome za ccm ila wameshikwa nakumbuka 2010 dr slaa hata hakujiangaisha kwenda huko coz ilikuwa ngumu ila sasa hivi vijana wanataka mabadiliko
Umeangalia Chanel ten ya wap ww
Mimi nipo tanga na uzuri leo tanga ni hali ya barid toka asubui mvua inanyesha na mkutanoni kulikua na watu si wengi hivyo kama alivokuja magufuli watu walikua wengi sana na hakuna alozimia wala kukosa pumz na kulikua na jua kali sana hii ya leo lowasa amekuja na ndege na amesimama dk 3 tu akakaa vurugu likaanzia mbele walikokua vikundi vyao ndo kusababisha vurugu na kubwa pilisi ndo wakatuliza na kama umati ungekua mkubwa polisi wasingeweza acheni uongo ukawa kwa tanga hawana watu wengi kama ccm