Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

Ukiisoma huku umepiga kiloba hutaielewa, hata biblia iliandikwa miaka 2000 iliyopita lakin yanayotendeka sasa yamo kwenye biblia. Hiyo post aliiandika Yericko Nyerere mwana UKAWA kipindi Lowasa anaenda kutangaza nia Arusha aliielezea mikakati anayoifanya Lowasa Kuihadaa Kamati kuu ya CCM aonekane kua anakubalika sana. mikakati hiyo ndo anaendelea nayo sasa UKAWA
Umesoma kichwa cha habari ?
 
unahitaji kunywa uji , au chukua manati ukawinde ndege......hapa pa wakubwa usije
 
Back
Top Bottom