Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

Heri ya we usopoteza mb kuandika point si wenye kuandika pumba tuache tupoteze mb walopoteza faham ni wagonjwa wameenda kumuona lowasa walikua hawamjui
 
Waongo sana ..Lowassa alichoka ikaonekana watengeneze zengwe wavunje mkutano ili jamaa akapumzishwe ..mbona mikutano mikubwa watu hawazimii?
kULA LIKE MKUU,hawa ukawa wajinga kweli eti mkutano ulivunjika sababu ya umati,jamani kwa nini sasa waliuanza,yale yale ya Chato,atakuwa aliji .........tena
 
Waongo sana ..Lowassa alichoka ikaonekana watengeneze zengwe wavunje mkutano ili jamaa akapumzishwe ..mbona mikutano mikubwa watu hawazimii?

kama amechoka ni ali yake...
alizunguka tz nzima kuomba wafadhili na jina lilipokatwa akaendelea ukawa


nampoleza huyu ni zaid ya mwanaume pamoja na ugonjwa mnaosema anao lakini noooo
ana nguvu sana vivaaaaaaaa


tobiko babalai
 
mungu amlinde mzee wa watu ccm jipangeni vizuri kwenye wizi was kura mwaka huu
 
Hili ni balaaa si kitoto..!!

Nawashukiru sana team kampeni ya UKAWA kutokuendelea na mkutano huo ili kuzuia Maafa kama ya Uarabuni. Lazima utafutwe uwanja mwingine na siku nyingine ili wanatang wapate neno la Ukombozi.

BACK TANGANYIKA

Hivi ni kwa nini hawa maccm wasiruhusu viwanja walivyovipora kutoka kwa wananchi ili vitumike kwa kampeni??? Sisi tupo tayari kuwalipa kiingilio ila tukitoka humo kazi yetu ni moja, kuhakikisha tunawachinjilia mbali tarehe 25/10/2015
 
Leo tanga abiria wametembea kwa miguu baada ya magari na noah kuwa na kazi maalum ya kubeba watu kwenda kwenye mkutano wa ukawa ambao inasemekana bila kufanya wangekosa watu na kuibuia mtafaruku mkubwa miongoni mwao, umati wala tusitishike wana ccm
Na kwa vyama vinne vilivyoungana huo umati bado ni mdogo kwa uwiano.
attachment.php


_MG_3592.jpg
 
Waongo sana ..Lowassa alichoka ikaonekana watengeneze zengwe wavunje mkutano ili jamaa akapumzishwe ..mbona mikutano mikubwa watu hawazimii?

Umeona itv? Fucha......kuliko kujiweka wazi kiasi hicho....nausiniambie ilo jina ni lakitokea bk
 
Back
Top Bottom