hahaaa ..ccm kwa propaganda hamjambo....
Duh, unaweza kuwa sio mzima wew!
mafuriko nimeshuhudia kwenye tv muda huu
Zumbukuku unapoteza mb kuandika pumba tuMimi nipo tanga na uzuri leo tanga ni hali ya barid toka asubui mvua inanyesha na mkutanoni kulikua na watu si wengi hivyo kama alivokuja magufuli watu walikua wengi sana na hakuna alozimia wala kukosa pumz na kulikua na jua kali sana hii ya leo lowasa amekuja na ndege na amesimama dk 3 tu akakaa vurugu likaanzia mbele walikokua vikundi vyao ndo kusababisha vurugu na kubwa pilisi ndo wakatuliza na kama umati ungekua mkubwa polisi wasingeweza acheni uongo ukawa kwa tanga hawana watu wengi kama ccm
Kutokana na watu kujaa sana kwenye mkutano wa Lowassa baadhi ya watu walianza kukosa hewa kiasi cha kupelekea viongozi wa ukawa kutaka kuahirisha mkutano huo lakini bahati nzuri polisi walifanya kazi nzuri sana kwa kuweza kuwatuliza watu na kuwapanga vizuri hali iliyopelekea utulivu na usalama wa wananchi hivyo kumuwezesha mh. Lowassa na viongozi wengine kuendelea na mkutano. Chanzo taarifa ya habari ya SAA moja kutoka channel ten.
Nyinyi hamuwajui watu wa Tanga.Hana chake huyo.Kama Digo hawana kabisa mpango nae.
mafuriko nimeshuhudia kwenye tv muda huu
So Sorry,thank God No 1 Aliyefariki,tuliwapoteza Kwenye Mkutano Wa Ccm Moro Hatutegemei Janga Hilo Litokee Tena Kwenye Kampeni...Hongereni Polisi Japo Ukawa Muda Mwingine Hawana Shukrani Wanawakejeli Na Kuwadharau....