Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

hhsmakwato

Member
Mar 19, 2015
97
51
Mgombe Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Mh Lowassa leo atakuwa ndani ya Tanga katika maeneo mbalimbali ya mkoa huu. Mkutano mkubwa utafanyika katika viwanja vya Tangamano, watu wataanza kufurika kuanzia asubuhi hii.

Bahati nzuri leo tumeamka na mvua ambazo kwa kweli inaonekana ni dalili za kheiri kwa jiji hili la Tanga.

Niko karibu na viwanja hivi vya Tangamano lakini hapatokeki kwa mvua. Nitakupeni updates kadiri nitakapopata muda, Tuwe pamoja!

Peopleeeeeeeez!

l9.png
l10.png
l1.jpg l2.jpg l3.jpg l4.jpg l5.jpg l6.jpg
tng.jpg tng1.jpg
Watu walizimia kutokana na Msongamano, UKAWA wakaamua kusitisha mkutano
 
Last edited by a moderator:
poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Naona mvua ndio inaishiaishia hiyooo.
Jamani kuna uzi nimeuanzisha hapo kwa kuuliza juu ya uwepo wa NAPE naona siuoni . Hebu nisaidieni.
Nataka kufahamu huyu jamaa yuwapiii maana nimepata tetesi kuwa ameshikiliwa hukoo ughaibuni Je ni ya kweli hayaa ?
 
Kama China wamshughulikie
 
Back
Top Bottom