Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

attachment.php
 
haya mambo hata 2010 yalijitokeza mkidai kuwa mafuriko lakin bado mjue huo mchezo ushazoeleka na zaid mnafanya hivyo kwenye ngome za ccm ili kuwatia hofu watu, katu asilan tunaendelea kuamini kuwa magufuli ni kiongozi bora
 
hatuna budi ya kupima umati wa watu kwa kuthaminisha kura maana sio kila anayehuzuria ni mpiga kura wa ukawa wengi wao wanakuja kushangaa uwepo wa lowassa
 
Aisee mnatafuta nchi kwa utapeli huu na maneno ya kuunga Unga? Mnachagua Kuwa mawakala wa shetani wa zamani yaan ibilisi kwa kununuliwa na lowasa na wenzake, huu uongo una mwisho na kuzimu yenu ni Oct 25
 
Back
Top Bottom