Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

kweli kwa hapa lazima kiushuzi kimtoke sijaona mahali lowassa kapata mapokeo madogo zaidi ya katavi tu sehemu nyingine zote mafuriko ya maana. Sehemu zilizonifuraisha ni dodoma, tanga, kahama, shinyanga, geita rukwa ambazo ndo ngome za ccm ila wameshikwa nakumbuka 2010 dr slaa hata hakujiangaisha kwenda huko coz ilikuwa ngumu ila sasa hivi vijana wanataka mabadiliko
 
Waongo sana ..Lowassa alichoka ikaonekana watengeneze zengwe wavunje mkutano ili jamaa akapumzishwe ..mbona mikutano mikubwa watu hawazimii?
Kumbe mikutano mikubwa watu huwa wanafanya nini, wanakufa kama walivokufa kule Morogoro kwenye ufunguzi wa kampeni, baada ya kuwafungia watu ili wasitoke baada ya wasanii muliowaalika kumaliza kutumbuiza.
 
Ki ukweli watu walikuwa ni wengi kiasi kwamba watu wanakosa hewa na kupoteza fahamu acheni majungu mkutano imebidi uvunjwe kwa nyomi Mimi Niko bara bar a ya 3 karibu sana na huo uwanja Wa tangamano ccm waibe kura Ila hawana jipya.
 
Kampeni za mgombea urais kupitia ukawa zilizokuwa zifanyike Tanga leo zimeahirishwa kutokana na msongamano mkubwa sana wa watu ambao wamekuwa wakibanana na kukosa hewa na kupelekea watu kupoteza fahamu.

Mkutano huo umeahirishwa ili watu wasiendelee kufurika. Na hii ni baada ya watu zaidi ya 50 kuzimia

Ukisikia ukombozi ndio huoooo mlangoni, ccm tachieni tanzania yetu kwa amani
 
Tanga kunaniiiiii Hahahahahah kifo cha nyani mwaka huuu mafuriko ya Lowassa hayazuiriki Raisi Lowassa 2015

Viva Tanzania viva UKAWA viva CHADEMA viva viva Viva Lowassa viva Tanga
 

Close
CP_jAQPWwAAZsY8.jpg:large

Ni kuyabuluza hayo ma ccm bila huruma
 
ImageUploadedByJamiiForums1443460079.016008.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1443460110.640040.jpg
Viongozi wa Chadema walitumia busara kusimamisha mkutano kwa muda na kuruhusu huduma ya kwanza kutolewa.
Hii ndio tanga,Watu wanataka mabadiliko kwa gharama yoyote ile
Twaweza mnaona lakini?
Januari makamba unaona hii?Imetokea kwako.
 
...alafu Tanga si ilikuwa moja ya ngome ya ccm!!...duu...amazing..unaona kwenye mikutano ya Lowassa kunajaa vijana...tena wanawake kwa wanaume....ambao ndio aslimia kubwa ya watanzania...unaona kabisa zile tafiti za twaweza na synovate ni magumashi tu....taratibu ccm sindano itawaingia tu..hadi kieleweke....
 
Mukulu huko UN na hizi nazo za kutengeneza!!!!!!!!!!!!!!???????????????????????

Ndio maana afya ya Rais mteule kipenzi cha watu inaendelea kuimarika!!!
 
Back
Top Bottom