Kahama ipi ulipo? Nyasubi, Mhongolo, Masaki ama Nyihogo? Na wewe ni mkulima? Nenda Chambo, Kilago,Chona, Ngaya, Nyamilangano na vijiji vingine nchi hii kote huko wakulima wanalia bei ya mpunga wao. Unajua ni kwa nini? Hakuna wafanyabiashara wa kununua mazao yao, wanaogopa kuja Tz kubambikizwa makosa na TRA, wanaogopa kuleta hela zao. Lissu anataka afumue TRA na mfumo huu wa one man show ili mambo yote yaende kwa haki. Sasa wewe kaa hapo Nyasubi ukisubiri jioni umpe shemeji 2000 akaje na kilo 3 za mchele bila hata kujiuliza anayeumia ni mkulima anayetegemea mazao yake kuendesha maisha. Inzi wa kijani bwana, think out of your circumference, there are cries emanating from your party's theft and unlawful attempts to oppress freedom and justice by intervening the government systems. Lissu is the one to restore all to normal functioning with clear separation of power among the government organs.Usilinganishe Ethiopia na Tanzania. Njoo kahama watu wanakula mchele na kusaza ndio ulinganishe na nchi ambayo ina ukame miaka 40.
Haki za binadamiu zipi zinazominywa? Watu wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa mpaka saa nne usiku wanajadili siasa.