Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Bora mnanvyo ungaunga picha Maana si Kwa aibu hiyo

Tulisema mapema, Watanzania ni watu wanaoona mbali Sana kuhusu mienendo ya wanaotaka kuwaongoza, ni wadadisi wa mambo, unaweza ukaja na Moto na Moto huo ukaishia njiani, ndio kama huyo mgombea wenu, ni aheri angelikuwa Nyalandu
 
Kwani ni chama gani kingine kimekaa madarakani muda wote mpaka useme ni jukumu la chama kingine kuleta maendeleo? Ama hujui uanoongea nini?
Nilikuwa nafafanua kuwa marais wa Ccm wekuwa wanapokezana vijiti kutuletea maendeleo.
 
Bora mnanvyo ungaunga picha Maana si Kwa aibu hiyo

Tulisema mapema, Watanzania ni watu wanaoona mbali Sana kuhusu mienendo ya wanaotaka kuwaongoza, ni wadadisi wa mambo, unaweza ukaja na Moto na Moto huo ukaishia njiani, ndio kama huyo mgombea wenu, ni aheri angelikuwa Nyalandu
Furaha kwa ccm mkuu
 
Kutangaza tender Ni jambo rahisi kuliko yote dunia hiii, kutekeleza ni jambo jingine kabisa. Sina chochote cha kusali maana sina nitakachopoteza kwa uwepo wa huo mradi. Mradi wa SG utakuwa soon ya lini? Maana huo mradi wa SGR wenyewe tuliambiwa kipande Dar-Moro kitakuwa tayari soon toka 2017, ila mpaka sasa mwaka mmoja mbele bado zinatajwa asilimia tu kipande hicho kikamilike.

Utamuita nani awekeze viwanda kwenye nchi ambayo maamuzi ya nchi yanategemea utashi wa rais? Ni mwekezaji gani wa viwanda wa maana haoni serekali hii inavyosumbua sekta binafsi chini ya awamu hii na kuhodhi biashara? Rejea ndege za fast jet, total juzi imefungasha nk.Au unadhani wawekezaji wa viwanda ni sawa na viongozi wa upinzani waliohamia ccm kuunga juhudi? Ukitaka kujua ni ngumu kuita wawekezaji wa viwanda, fuatilia JK aliyekuwa anazunguka dunia nzima kusaka wawekezaji na kuishia kuwapata kiduchu. Kama huko pwani kungekuwa na viwanda vya kutambia, neno Tanzania ya viwanda lisingekauka kwenye kampeni hizi.
Unaleta mifano na propaganda za kipuuzi. Fastjet waliondoka sababu walikuwa ni matapeli. Total hawajaondoka ila wanauza filling stations zao. Acha kuishi maisha ya kwenye mtandao. Nenda Pwani ukajionee kwa macho yako.
 
2020_09_03_18.28.09.jpg
 
Unaleta mifano na propaganda za kipuuzi. Fastjet waliondoka sababu walikuwa ni matapeli. Total hawajaondoka ila wanauza filling stations zao. Acha kuishi maisha ya kwenye mtandao. Nenda Pwani ukajionee kwa macho yako.

Narudia tena, hawa vijana wote hapa Dar wangehamia huko pwani ili kupata ajira, kama kungekuwa na viwanda kwa maana ya Tanzania ya viwanda. Hivyo viwanda vya Pwani ni mpaka niende, mbona Kenya hapo najua wana viwanda na sijaenda kuviangalia? Hizo nchi za viwanda nazijua na sijaenda kuviangalia. Utacheka kichina safari hii dogo.
 
Kwani uliposikia Tanzania ya viwanda ndio ulijua utakuwa unaona viwanda kila kona! Mimi najua Pwani viwanda vipo vya kutosha lakini sio hoja ya wewe kusema wewe vijana wote Dar wakatafute kazi pwani. Nchi kuwa ya viwanda sio kila mtaa uone kiwanda.
 
Wenzio wanasema ni kishindo cha awamu ya tano ww unadai ni KIkwete hahahah ngoja wakusikie.
Acha kupotosha umma. Kila rais aliyongoza Tanzania alifanya mazuri yake. Ndio maana hata JPM anasisitiza juu ya hili. Ni mwendo wa kupokezana kijiti tu kwa manufaa ya watanzania.
 
Kwani uliposikia Tanzania ya viwanda ndio ulijua utakuwa unaona viwanda kila kona! Mimi najua Pwani viwanda vipo vya kutosha lakini sio hoja ya wewe kusema wewe vijana wote Dar wakatafute kazi pwani. Nchi kuwa ya viwanda sio kila mtaa uone kiwanda.

Safari hii kazi ipo.
 
Narudia tena, hawa vijana wote hapa Dar wangehamia huko pwani ili kupata ajira, kama kungekuwa na viwanda kwa maana ya Tanzania ya viwanda. Hivyo viwanda vya Pwani ni mpaka niende, mbona Kenya hapo najua wana viwanda na sijaenda kuviangalia? Hizo nchi za viwanda nazijua na sijaenda kuviangalia. Utacheka kichina safari hii dogo.
Ikiwa Hadi Leo mnaamini Corona bado ipo Tanzania na inakuwa makumi ya watu, Utaamini viwanda vilivyojengwa Kwa wingi maeneo ya mapinga Hadi unafika chalinze viwanda vimepangana vipya vipya

Maana nyie mkikubali mnahisi mtakufa
 
Mkuu kuna popote nimesema kuwa Corona inaua makumi ya watu, au ulitaka kumqoute mtu mwingine? Mkuu ni kweli hivyo viwanda sikatai kuwa vipo, ila ndio hivyo tulikuwa tunaambiwa ni Tanzania ya viwanda?
 
Back
Top Bottom