mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,054
- 5,432
Hivi tumpate wapi mtu asiyeegemea upande wowote anfunze huyu duanzi sheria za msingi?wakala wa shetani ni yule anayeweza kushabikia nchi kuvurugika kwaajili ya mtu mmoja mbowe ni gadi wala siyo mdai katiba mpya hivi kama unaakili tu hata kidogo kama unayo lakini kweli kesi ushahidi wa muda mrefu yeye kadai katiba hata miezi miwili haijaisha leo unasema kakamatwa kwaajili ya katiba mpya? tumieni akili siyo mnatumia vijambi kufikiri