kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,716
- 13,185
Ameamua kukaa eneo la wajingaKuna mwamba mwingine mnamsahau hapo,Fundi Albarto Msando,moto wa gesi ule sema saizi amekula kashavu.
Ameamua kukaa eneo la wajingaKuna mwamba mwingine mnamsahau hapo,Fundi Albarto Msando,moto wa gesi ule sema saizi amekula kashavu.
WIGWA ww hujui chochote hii ni kesi ya kisisa hakuna ugaid hapo. Makomandoo walikamatwa kwa sababu ya sabaya kumkomoa mbowe. Sabaya alikuwa anataka mbowe aangamie. Sasa unatetea ujinga tuhunahojaya kunijibu ndiyo maana huwezi kushindana kwa hoja unalazimisha hoja zako ndiyo ziwe sawa kwaniniusiachie mahakama kwanini unakataa kuwa mbowe ni gaidi?
Masikini Mataga pori umepanic kweri-kweri baada ya shahidi wenu kuharisha damu kizimbani.Mwenye macho aambiwi Tazama Kuna msemo usemao
The search for truth takes you where the evidence leads you, even if, at first, you don't want to go there..
Haya ya Kibatala kamkalisha shahidi sijui shahidi Urio wa Mchongo asee
Hapa ilibidi Njia za ziada na sahihi kutumika katika kuhakikisha Mbowe hafungwi,
Story za akina Hilda na Yule Martin Masese Mtandaoni msiridhike nazo.
Kama unajiamini saanaa pinga nayodokeza.
Tunamweka Matatizoni Mbowe Badala ya Kumtetea tunaleta Mbwembwe kwenye kesi ya Msingi.
Mbowe Omba msamaha yaishe hata kama hatuna uhakika na kosa lako.
Sisemagi Mengi ntafufua huu Uzi in two months to come
Likesi la kijinga eti bado mamlaka wanashupaza shingo watajua hawajui pale mkuu wa nchi atakapo tinga mahakamani ,hakuna Alie juu ya sheria,alisema wenzake na mwenyekiti Mbowe wanatumikia kifungo, lazima atinge tujue nani aliemwambia?Asante Mkuu Nyendo kwa kutuunganisha na Mahakama
Kesi hii inaendelea kuwaweka peupe waliokuwa hawajulikani.
Kwani kufungwa atakuwa wa kwanza? Mandela alifungwa, echilema alifungwa piaMwenye macho aambiwi Tazama Kuna msemo usemao
The search for truth takes you where the evidence leads you, even if, at first, you don't want to go there..
Haya ya Kibatala kamkalisha shahidi sijui shahidi Urio wa Mchongo asee
Hapa ilibidi Njia za ziada na sahihi kutumika katika kuhakikisha Mbowe hafungwi,
Story za akina Hilda na Yule Martin Masese Mtandaoni msiridhike nazo.
Kama unajiamini saanaa pinga nayodokeza.
Tunamweka Matatizoni Mbowe Badala ya Kumtetea tunaleta Mbwembwe kwenye kesi ya Msingi.
Mbowe Omba msamaha yaishe hata kama hatuna uhakika na kosa lako.
Sisemagi Mengi ntafufua huu Uzi in two months to come
Mkuu hata formation iliyopo ni nzuri tu! Inatosha kuwatoa jasho Mawakili wa Jamhuri na mashaidi wao.Hii kesi angekuwepo;
1) Tundu Lissu
2) Peter Kibatala
3) Nashon Nkungu
4) Fredrick Kihwelo.
5) Mtobesya.
6) John Malya.
7) Fatma Karume.
Jopo la mawakili watetezi lingekua poa sana, formation hapo ingekua imekamilika ipasavyo, mashahidi wangeshikwa matumbo ya kuharisha.
Uyu shahidi nae miyeyusho sana yaan kila swali analoulizwa jibu lake sikumbuki sasa kama huna kumbukumbu juu ya maswali unayoulizwa ilikuwaje ukawa shahid?Habari Wakuu,
Leo 09/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea
Wataumwa kila siku hadi waharishe. Yaani mtu analala nyumbani a ansinzia vizuri na kula vizuri ndiye anaumwa kuliko walioko selo usingizi wa mawazo, mbu tele, baridi na joto ndio kwao.Asante Mkuu Nyendo kwa kutuunganisha na Mahakama
Kesi hii inaendelea kuwaweka peupe waliokuwa hawajulikani.
Ni ngumu sana kuugeuza uongo kuwa ukweli hata ujipange vipiMpelelezi mkuu hawezi kutetea upelelezj wake sasa waliwashikilia vijana wa watu kwa kosa gani? Kwa hadithi za kutunga za luteni Urio?
🤣🤣🤣Ikikupendeza mheshimiwa nyendo naitwa mashaka mshaka nipo pamoja na wakili wenzangu wa jamii forum na tupo tayari kuendelea.
🤣🤣🤣SwilaTusha shiba supu na chapati tukisubiri kwenda chooni kama shaidi swai
Ushauri wa kipuuzi huu. Msomi mahiri kama Kibatara afanye kazi na serikali onevu na fisadi haiwezekaniWakili msomi Peter Kibatala ni mmoja wa Mawakili mahiri kutokea katika nchi hii. Ikipendeza namshauri Mhe. Rais amteue Wakili msomi Peter Kibatala ili amsaidie Serekalini yake. Huyu anafaa kuwa DPP.
Ana kipala Cha uchawi tuKuna mwamba mwingine mnamsahau hapo,Fundi Albarto Msando,moto wa gesi ule sema saizi amekula kashavu.
Wao anadhani tukiondoka nyumbani tunatoroka tu. Lazima Tuage wahenga kwanza.Kibatala: Kwa hiyo hata nikikwambia Kwamba Mzee Ling'wenya ilibidi aitishe Kikao cha Ukoo/Familia Kujadili suala la Mtoto wao Kwenda Kwa Luteni Denis Urio
Hatimaye mchawi akajulikanaHii kesi mm naomba iendelee hivihivi,, hata kama mbowe ana mawazo ya kuomba msamaha basi achelewe sana..
Tunajifunza mambo mengi sana kupitia hii kesi,, Watu tunaowaamini na usalama wenu tunawaona jinsi wanavojikoroga..
Wapelelezi wanashindwa kuelezea upelelezi wao,,,nafikiri Maafisa wengi wa polisi hawana ujuzi wana kile wanachofanya,, ila wamejificha tu kwenye kivuli cha vyeo,,na ni vile kijeshi mkubwa hahojiwi,,, ila kiukweli ni vilaza sana...
Acha inyeshe..................