Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye rufaa ya Mbowe na Esther Matiko - Machi 6, 2019

Ulinzi wote wa nn sasa,yajulikana aliwekwa ndani ili Lowasa arudi Ccm akisharudi ataachiwa maana walihofu angekuwa kikwazo kumshawishi asirudi ccm,Mbowe ataachiwa ndo maana ya ulinzi mkali
Sijui wewe umeambiwa na nani hayo?
 
Udhaifu wa Watanzania ni Uoga!! Serikali yenu inalijua hilo.

Siku mkibadilika mtaheshimiana.

BTW Magufuli hajiamini, ni mwoga mnoo!!!

Kama wewe ni mtanzania anza kuonyesha mfano wa kwenda front lakini kama si mtanzania tuachie nchi yetu na mambo yetu wenyewe watanzania
 
Huyo mama anateswa bure tu, ni chambo, target kubwa ni Mbowe, hasa kutokana na ile kauli yake ya "kamtu kafupi kutoka Chato, ndo kila mmoja ana kanyenyekea" wakati yule binti ana pigwa risasi. Na kusema kwamba kuanzia sasa wataingia barabarani, hii Issue kwa ujumla wake iliumiza na kukasirisha ufukweni palee.
Wanao hoji uhuru wa mahakama si kwamba si wazalendo. Ila wanatiwa na ukakasi ukifikilia ya ukiungua juhudi mkono huna kesi tena ya kujibu mahakamani.
Na mifano ipo.
Sijui watafunga kwaresima ama ni waumini tu wa kawaida.
By the way J.tano njema ya majivu kwa ws Wakatoliki.
 
Udhaifu wa Watanzania ni Uoga!! Serikali yenu inalijua hilo.

Siku mkibadilika mtaheshimiana.

BTW Magufuli hajiamini, ni mwoga mnoo!!!
Wewe ni wa kipande ipi unajua udhaifu wa Watanzania?

Let me tell you kwamba wewe ndiyo MUOGA NO. 1 hapa nchini ambae umekwepa hata utaifa wako kwa kujipa nafsi ingine kama mtu wa nje ya TZ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom