Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

JK alishasema waoona wanauwezo wa kuvaa buti zake wanaweza kujipitisha siyo vibaya, sasa mlitaka leo aongee nini.

Yaani JK janga la kitaifa na zigo kubwa. Anaacha watoto wake wanauana pasi kusuluhisha. Ama kweli magamba mmepatikana na mwenyekiti wenu huyu asiye na maamzi kwenye chama chake na nchi kwa ujumla. Upande wa CDM ashukuriwe maana ni dhahiri naye kaona ccm imewanyonya vya kutosha wanyonge hivyo CDM imerahisiwa njia ya kuongoza Ikulu na nchi kwa ujumla na hatimaye rasimali za nchi zilejeshwe mikononi mwa raia.
 
Hii inaitwa hadithi njoo utamu kolea hii ni ccm bana full maigizo
 
Ili uwe mwanasiasa ni lazima uwe huna aibu hata kidogo.

Ni kama vile kuachiwa mtoto wa miezi sita kwa masaa 12 na kuamua kunywa maziwa yake na badala yake kumpa maji vuguvugu yenye sukari kidogo.

Wana siasa hawana SIMANZI.
 
Lakini kwa ung'ombe wa baadhi ya watanzani bado wataendelea kuisifia ccm na rais wake na hali maumivu wanaoyapata ni wao na makada wao kama wapo UROPA Vile. WaTanzania wakati mwingine wanakera kweli. Ngoja waje mbwa wengne kama akina Ritz,Msalani,Ifweero,Taswira na type zao zote. Fakeni kabisa.

Mkuu.
Ni U Nyumbu na wala sio U Ng'ombe.
Ng'ombe wana akili kidogo aisee
 
Msanii mmoja anaondoka mwingine naye amejizatiti kwa Pochi lote ili aukwae.
Tena huyu wa sasa ndo ana Digirii ya Tamthilia kabisa toka UDSM.

Zitapigwa ngonjera za MAJIGAMBO hapo huku MARAFIKI wa...... wakiinajsi INJI kinyume na maumbile.
Yaani shughuli tunayo kubwa wakati tumemchinja mbu, Moskwito.

Mpaka ifike zamu ya mtu mwenye feelings kutawala INJI hiit tutakuwa tumechakaa shakaza.
 
swagazetu hata mimi nimemsikiliza tena vizuri sana, sasa naomba uniambie we ulitaka aseme nini? Maana kazingumza ukweli uliapo ndani ya ccm na masimamo wa chama sasa ni sisi kuamua wakati wa kupiga kura.
 
Last edited by a moderator:
Wakati WA maamuzi magumu si ndo umewadia? Mungu alipomuumba binadamu alimpa akili ili afikiri na kufanya maamuzi sahihi na si vinginevyo, nikimaanisha kuwa UTADANGAYA SIKU ZOTE LKN HUTADANGANYA WATU WOTE, habari ndo hiyo we can make changes.
 
je kwa tafsiri yako uliyoitoa hapo juu unadhani jk anastahili kufanya hivo kwa lowasa? Any way inaonekana umekurupuka, rudi uliza wenzako au kajifunze vizuri kiswahili, hasa neno KUMNANGA.

Kiswahili ni lugha mama kwangu, si yakufikia kama wewe. Nnaisikia toka nipo tumboni.

Achana na maneno ya Kikwete, huwezi kumuelewa kwani upeo wako ni wakuwaelewa ma DJ na wachungaji wa kondoo tu. Jee, utakataa kuwa nawe pia ni kondoo?

Kukuita kondoo sijakunanga, aliyewaita hivyo hajakosea na mmekubali kuwa nyinyi ni kondoo na mna wachungaji wanaowachunga kama vile mchungaji alielikacha kanisa Slaa.

Nna uhakika maana ya kunanga ulikuwa unaitumia sivyo na leo umebahatika kuelimka.
 
Bado wanaendelea hapo?ina maana hii sikukuu ni mpaka jioni?

Wewe unasema jioni!!!!!"!!??!

Hujawaona bongo movie? Hapo watu wamekodi Vyumba..Hiyo mpaka kucheee 😉

Hapo sherehe haijaanza..Kuna wengine wameenda kutumia na wengine kutafuta..Hahaa..

Watu wameaga kwa wake zao..na leo usiku simu hazipatikani.."mke kashaambiwa wakimaliza uwajani wana vikao vya ndani" chezea sisiemu hehehee

Wapi kapuyer's..hahaaa 😀
 
MKUU Nkogu Ndasu jaribu kuangalia masilahi ya Taifa na kizazi kijacho na sio kutumika, badala ya kuona tembo ndani ya hifadhi unafurahia baabaya miaka 5 kuja kuwachungulia kwenye ZOO! Umelogwa? Kama akili hakuna hata masikio na macho Jamani! Ona aibu basi!
 
wenzetu wazungu wana msemo kwamba umekalia bomu linalotarajia kupasuka wakati wowote,"sitting on a timed bomb" kama mwenyekiti anapata fursa ya kulihutubia taifa ameshindwa kuzungumzia mshike mshike unaoendelea ndani ya chma chake kutokana na kauli mbalimbali za makada na viongozi, basi hapo ujue kuna hatari kubwa inawasubiria tu ccm.

Inawezekana ano upande wake ndiyo maana ameamua kukaa kimya, lakini ajue kwamba chama cha mapinduzi kinafunika blanketi kwenye mikaa ya moto.

Cha kushangaza ile kamati maalum ya wazee washauri walipigwa bit kipindi fulani naona nao wameamua kuka kimya kana kwamba hawapo. Du maskini ccm inaelea baharini bila rubani,

eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?????? Imekula kwenu, mliddani sisi tuna akili ndogo km nyie ya kulumbana. Mtasubiri sana
 
Sijui sisi wana kusini kama tutapata umeme wa gridi ya taifa, maana toka mwaka 2009 ni blah blah tu!

Ichagueni chadema wataleta kila ki2 ili kurudisha Majimbo. Tatzo watu wa kusin mnapenda kahawa na mpunga na wenyewe wanawapga bao hapohapo. BADILIKEN WATU WA KUSINI EE!
 
Back
Top Bottom