Sote tunatambua kuwa mambo makubwa 3 kukiimarisha chama
1,kufanya kazi ndani ya chama
2.kutekeleza ilani na kusimamia program za maendeleo
3kusimamia na kuhakikisha nchi ina amani daima
Hivi kweli Edward Lowaass yupo najitahidi kuangaza sioni kitu ay kamera man anambania?.......Mwenyekiti wa CCM homa aliyonayo ni juu ya CHADEMA Maana kaanza na vijembe eti kunavyama vinaangaika nchi nzima kujinusuru.
Chama kiwe na wanachama wengi.
Leo tumepata wanachama maarufu. Tunaendelea kukiimarisha chama.
viongozi tokeni kuhamasisha wanachama. nendeni kwa wananchi muwasikilize.
Hivi kweli Edward Lowaass yupo najitahidi kuangaza sioni kitu ay kamera man anambania?.......Mwenyekiti wa CCM homa aliyonayo ni juu ya CHADEMA Maana kaanza na vijembe eti kunavyama vinaangaika nchi nzima kujinusuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.