Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Chama kimefanya kazi yake, serikali itaendelea kuchukua hatua

kiboko yenu ni lowassa tu!!! hana habari na hicho chama chenu chakavu na sasa anajenga umaarufu na mtandao wake kwa kwenda mbele!!!! viva lowassa!
 
...hongera sana watanzania ni wamoja na tuna wajibu wa kulinda tunu hii ikiwa ni pamoja na kudumisha amani na utulivu uliopo nchini.

Ndiyo tufanyeni sisi wa kuponda mawe na ninyi mle bata hapo DAR na ulaya.
 
Kiswahili ni lugha mama kwangu, si yakufikia kama wewe. Nnaisikia toka nipo tumboni.

Achana na maneno ya Kikwete, huwezi kumuelewa kwani upeo wako ni wakuwaelewa ma DJ na wachungaji wa kondoo tu. Jee, utakataa kuwa nawe pia ni kondoo?

Kukuita kondoo sijakunanga, aliyewaita hivyo hajakosea na mmekubali kuwa nyinyi ni kondoo na mna wachungaji wanaowachunga kama vile mchungaji alielikacha kanisa Slaa.

Nna uhakika maana ya kunanga ulikuwa unaitumia sivyo na leo umebahatika kuelimka.
Pole kwa Kutoelewa kwanini YESU alituita Kondoo na Yeye ni Mchungaji na tunakubali na tutaendelea kukubali kuwa kondoo wake Maana kondoo ana mkia unaofunika utupu wake. Je wewe ni Jamii ya Mbuzi una mkia usio kusitili utupu wako.Pole tena na tena.
 
Mwenyekiti wa ccm ambae pia raisi wa nchi anajua kuna watu wanaokifadhili chama yaani ccm nawatu hao pesa zao sio halali amekiri hilo hapo mbeya...coclusion kwa kutumia major premise ni kwamba ccm ina vigogo wenye pesa haramu....na ndio wanao iweka ccm mjini...
 
Kiswahili ni lugha mama kwangu, si yakufikia kama wewe. Nnaisikia toka nipo tumboni.

Achana na maneno ya Kikwete, huwezi kumuelewa kwani upeo wako ni wakuwaelewa ma DJ na wachungaji wa kondoo tu. Jee, utakataa kuwa nawe pia ni kondoo?

Kukuita kondoo sijakunanga, aliyewaita hivyo hajakosea na mmekubali kuwa nyinyi ni kondoo na mna wachungaji wanaowachunga kama vile mchungaji alielikacha kanisa Slaa.

Nna uhakika maana ya kunanga ulikuwa unaitumia sivyo na leo umebahatika kuelimka.
mbona hueleweki? Mara kondoo, sijui nin! Unadhani kila aliye humu ni mwanakondoo? Sijaelimika chochote hapo zaidi ya kuona mauzauza tu! Jk amemnanga lowasa live! Na muda si mrefu vifaranga wa lowasa watajibu mapigo!
 
Wewe unasema jioni!!!!!"!!??!

Hujawaona bongo movie? Hapo watu wamekodi Vyumba..Hiyo mpaka kucheee 😉

Hapo sherehe haijaanza..Kuna wengine wameenda kutumia na wengine kutafuta..Hahaa..

Watu wameaga kwa wake zao..na leo usiku simu hazipatikani.."mke kashaambiwa wakimaliza uwajani wana vikao vya ndani" chezea sisiemu hehehee

Wapi kapuyer's..hahaaa 😀
teh teh, mbavu zangu mie!
 
MKUU Nkogu Ndasu jaribu kuangalia masilahi ya Taifa na kizazi kijacho na sio kutumika, badala ya kuona tembo ndani ya hifadhi unafurahia baabaya miaka 5 kuja kuwachungulia kwenye ZOO! Umelogwa? Kama akili hakuna hata masikio na macho Jamani! Ona aibu basi!
mkuu inaonekana aliyekuloga ameshakufa ati, Hueleweki!
 
Ichagueni chadema wataleta kila ki2 ili kurudisha Majimbo. Tatzo watu wa kusin mnapenda kahawa na mpunga na wenyewe wanawapga bao hapohapo. BADILIKEN WATU WA KUSINI EE!
kweli mkuu, tutajitaidi kubadilika, maana maccm hawaeleweki!
 
Hakika mnajidanganya ccm mtaumbuka MBEYA iache kamailivyo SUGU ni rais wambeya mtasota sana
 
kichwa maji + kichwa boga wewe
wagonjwa wa Ukimwi bana..hata kumaka hawawezi ila matusi yao hayana kipimo...naona fungus na VVU wapo ktk ubongo mikwara na matusi kibao..utadhani wale jamaa wa jangwani enzi zile ktk vita matusi yalikuwa ndivyo viburudishoa
 
umbea huo mbona hajataja mtu, ukiwa mzee utakuwa mchawi,
mimi niko uwanjani lakini sijaona jk kumgusa lowasa,
je,kwa macho yako kamgusa wapi begani au mikononi?
Si umesema wewe ni mjepo?
 
Back
Top Bottom