Meli katika ziwa victoria, nyasa na tanganyika ndiyo imekula kwetu!
haaa haaa, mtume!! Hakuna mwanasiasa mwongo kama jk, kule singida na dodoma wanajua vizuri adha wanayoipata kuhusu maji! Vijiji vingi havina maji safi na salama!
CCM wangekuwa na uwezo yalivyo pata Thabo Mbeki yangemkuta JKJk siasa si fani yake. Waliompa uenyekiti wa ccm wajitathimini na kujutia maamuzi yao
haaa haaa, tatizo watanzania tumelala mno mpaka madhaifu wanaingia ikulu!
shule gani mkuu weka picha wapi unakwama mbeya wakati kila sehemu ni lami tu.
anasema ccm waache kubaguana,anasema ahadi za serikali hazitamalizika mpaka mwakani!
..anasema wameboresha treni na viwanja vya ndege
..anasema kinana ameonesha mfano
...anasema wakiemdelea na mambo maovu watashindwa.n.k
haoni aibu!mimi namsikiliza naona aibu binafsi je yeye!
Anasema kuwa amesikitishwa na kauli ya Mbowe kuwa bila serikali tatu Bungeni hapatakalika .....anamuomba kuwa wakae na kuzungumzia jambo lolote kama lipo tatizo na sio kuwatia wananchi hofu.
hakuna mmoja kati ya CCM na CDM mwenye uhakika wa kupata theluthi mbili hivyo ni lazima kukaa na kukutana kama vyama na kukubaliana kwa pamoja .
anasema kuwa ni lazima tupatie katiba mpya kwani iliyopo ina matatizo makubwa na ni lazima reforms zifanyike....ament aka Mbowe na vyama vyote kukutana na tarehe 6 February na kuweza kuzungumzia jinsi ya kwenda mbele kwenye Bunge la katiba.....
Kikwete, amesema kuwa hata ndani ya chama chake wapo watu ambao wanaamini uwepo wa serikali tatu ,hivyo hata yeye hana uhakika zitapatikana serikali ngapi .......
anatimiza ahadi zake Kikwete kwa kutoa bajaji 2 na Gita moja alivyokuwa marahisi Mkoa wa Mbeya......shame...
sasa ndio wanajaribu zuga kwa hadi zake za mwaka jana..km hawakuwa na mkutano mbeya inamaana wasingetoa..na wanawapa maccm wenzao tuu?
Kwa hotuba hii Ccm itaongoza nchi hii milele
Amemaliza bila kutaja Lowassa na kinachoendelea kwenye chama chake.....
...hongera sana watanzania ni wamoja na tuna wajibu wa kulinda tunu hii ikiwa ni pamoja na kudumisha amani na utulivu uliopo nchini.