Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

mkuu usisahau kumwambia jk, kuwa wanafunzi waliofeli kidato cha pili wamepelekwa kidato cha 3, je hayo ndo maisha bora kwa kila mtanzania aliyowahaidi watanzania?
Sio kweli mkuu, wanarudia kidato cha pili
 
tunabishania mpaka na malawi wala hakuna mpango wa vita mazungumzo yanaendelea haki itapatikana.
 
Sijui neno "kumnanga" kwako linamaanisha nini. Kwa Kiswahilisafi neno "kumnanga" mtu ni kumpamba zaidi ya kiasi. Mfano ukisema bi harusi "wamemnanga" ina maanisha kapambwa mpaka ana chusha. Ukisema mbona mna "mnanga" nkongu kwa maneno, inamaanisha unasifiwa kwa maneno zaidi ya sifa unazostahiki mpaka inakera.

Jee, ulipoandika ulimaanisha nini? Au Kiswahili ni lugha uliyoijulia ukubwani na unaokoteza maneno bila kujuwa yana maana ipi, mradi fulani aliliandika nawe unakurupuka nalo bila kujuwa lina maanisha nini.

Pole kama nimekuudhi lakini naona ni wajib wangu kukupa ilm usiokuwa nayo na natumai kuanzia sasa utalitumia neno hilo kiufasaha zaidi.
je kwa tafsiri yako uliyoitoa hapo juu unadhani jk anastahili kufanya hivo kwa lowasa? Any way inaonekana umekurupuka, rudi uliza wenzako au kajifunze vizuri kiswahili, hasa neno KUMNANGA.
 
Last edited by a moderator:
Maji ni kipaumbele chetu cha juu kabisa
haaa haaa, mtume!! Hakuna mwanasiasa mwongo kama jk, kule singida na dodoma wanajua vizuri adha wanayoipata kuhusu maji! Vijiji vingi havina maji safi na salama!
 
swala la katiba pia kagusia kuwa kutakuwa na uhuru wa mjadala kipengele kimoja hadi kingine.
 
kutangaza wajumbe wa bunge la katiba watatangazwa ndani ya siku mbili hasa j3 na j4 ya wiki hii.
 
Nani kma ccm?????????? Hakunaaaaaaaaa.
ni kweli mkuu hakuna, maana mtoto wa kidato cha kwanza kutokujua na kusoma sio mchezo, hakuna dunia kote, bali ni tanzania chini ya ccm! Wanafunzi wa kidato cha pili wamefeli na huku wakiingia kidato cha 3, ni kweli hakuna kama ccm kamwe!
 
jumatatu mpaka jumanne ndipo kutangaza kuanza bunge la katiba.
 
Barabara ndio tumejenga kweli kweli
ila ya mbinga-mbambabay bado, ya masasi-tunduru-namtumbo bado, ya nyöni-tingi bado, ya nyoni-maguu bado, chunya -makongorosi bado, kondoa-dodoma bado, kondoa-Babati bado! nk. Jk kwa usanii anatisha!
 
MSALANI isingefika hapa !!! Hahaa

Ni maendeleo gani unazungumzia?

Matatizo ya tangu tumepata uhuru na kuzaliwa CCM yapo mpaka leo..

Unaifananisha Tanzania na Nchi gani kimaendeleo?

Inaonekana bado ni mtoto huelewi nchi ilikotoka na inakokwenda.
 
Sio kweli mkuu, wanarudia kidato cha pili
mkuu usijidanganye hapa, wastani wa kufaulu ni 30, wizara imetoa amri kuwa wanafunzi wote waliopata wastani wa 20 waende kidato cha tatu, huu ndo ukweli!
 
ahaha! naona kaanza taarabu, wapi papaa mbowe! asa kutajana majina ndo kuishiwa sera au?
 
Anasema kuwa amesikitishwa na kauli ya Mbowe kuwa bila serikali tatu Bungeni hapatakalika .....anamuomba kuwa wakae na kuzungumzia jambo lolote kama lipo tatizo na sio kuwatia wananchi hofu.
hakuna mmoja kati ya CCM na CDM mwenye uhakika wa kupata theluthi mbili hivyo ni lazima kukaa na kukutana kama vyama na kukubaliana kwa pamoja .

anasema kuwa ni lazima tupatie katiba mpya kwani iliyopo ina matatizo makubwa na ni lazima reforms zifanyike....ament aka Mbowe na vyama vyote kukutana na tarehe 6 February na kuweza kuzungumzia jinsi ya kwenda mbele kwenye Bunge la katiba.....

Kikwete, amesema kuwa hata ndani ya chama chake wapo watu ambao wanaamini uwepo wa serikali tatu ,hivyo hata yeye hana uhakika zitapatikana serikali ngapi .......

anatimiza ahadi zake Kikwete kwa kutoa bajaji 2 na Gita moja alivyokuwa marahisi Mkoa wa Mbeya......shame...
 
Back
Top Bottom