nipo pamoja na watz wa mbeya tunacheki mambo yanavyokwenda,kweli ccm ni baba lao limeteka hadi the comedy!
By the WAY,tupa jicho lako kushoto kwako utaniona nimetinga kijani tangu utosini hadi unyayoni,utantaka!
Jk bana analinganisha Mbowe na Komba..sijui ni mtumbo unamtisha...JK km hana la kusema si ashuke tuu jukwaani.
Amemaliza bila kutaja Lowassa na kinachoendelea kwenye chama chake.....
Sugu aliogopa kuja tuzindue mtambo wa maji kwa sababu aliwadanganya kuwa watu mbeya hawanitaki
utaelewa tuu bangi na ssembe likishukaWee kenge,mbona sijakuelewa,wee gamba au gwanda? piiipooz...
haha................................Ccm to the hell
jk ni mbea sana..leo kaongeza moto akina lowasawashughulikiwe..sasa utasia uvccm watakavyojipaka mavi wao na mama zao nababa zaokwa mtazamo wangu unapokuwa na Rais anaemlinganisha Mbowe na Komba! Alafu anasema mbunge wa kinondoni ni John Mnyika! Ni yale yale ya MULUGO! Kuwa Tanzania ni muunganiko wa visiwa vya zimbabwe!
Nipo uwanjani hapa kwa kweli nikionacho humu ni muziki tu hakuna sera zaidi uwanja umejaaa watoto wa rika la miaka 5 hadi 15 hawa wengi wao ni wanafunzi wa SANGU, META, IVUMWE, MBALIZ SEKONDARI.
NB; Watu kuvaa kofia kwa mtindo wa kufunika uso ina maana gani.?
Wakuu chama cha watanzania leo kinaadhimisha miaka 37 tangu kuanzishwa kwake mjini mbeya kwa sasa burudani zinaendelea.
mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais na mwenyekiti wa ccm taifa mh jakaya mrisho kikwete.
viongozi wengene wa kitaifa wa ccm pia wamefika akiwemo ndg nape,kinana ambaye pia ndiye katibu mkuu wa ccm taifa mwanasiasa mwenye huruma sana na watu mwenye kujishusha siku zote kwenye kazi zake.
sherehe hizi pia zinaadhimishwa kote nchini kwa mikoa yote kwa namna tofauti tofauti.
Wee kenge,mbona sijakuelewa,wee gamba au gwanda? piiipooz...
Wee kenge,mbona sijakuelewa,wee gamba au gwanda? piiipooz...
Chama kimefanya kazi yake, serikali itaendelea kuchukua hatua
Chama kimefanya kazi yake, serikali itaendelea kuchukua hatua