Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi - Mbeya!

Jk bana analinganisha Mbowe na Komba..sijui ni mtumbo unamtisha...JK km hana la kusema si ashuke tuu jukwaani.
 
Meli katika ziwa victoria, nyasa na tanganyika ndiyo imekula kwetu!
 
mjinga JK anaanza piganisha mbowe na komba hata kuongea haliwezi tena..si angmlinganisha mbowe na yeye..km wenyekiti
 
Amemaliza bila kutaja Lowassa na kinachoendelea kwenye chama chake.....
 
Inaonekana bado ni mtoto huelewi nchi ilikotoka na inakokwenda.

wewe mwehu tulikuwa na ndege viwanda..train meli vyama vya ushirika kama shirecu..kncu mmeuza vyote...mmekopa tunadaiwa trillion 30...bado barabara dispasable
bila kusahau faru na tembo wetu mmewapakiza kwenye ndege
tazara nayo ileeee inakufa tukiiona
 
  • Thanks
Reactions: prs
anasema ccm waache kubaguana,anasema ahadi za serikali hazitamalizika mpaka mwakani!

..anasema wameboresha treni na viwanja vya ndege
..anasema kinana ameonesha mfano
...anasema wakiemdelea na mambo maovu watashindwa.n.k


haoni aibu!mimi namsikiliza naona aibu binafsi je yeye!
kwani jamaa ana mshpa wa aibu?
 
Mwigulu anasema -Mtaji wa kisiasa wa CCM ni mafanikio ya watanzania, mtaji wa CHADEMA ni umaskini wa watanzania, anasema CHADEMA wanajifanya wazalendo lakini kwenye maandamano watoto wao hawaji, matokeo yake watoto wa watu wengine ndio wanakufa. Kanichekesha sana aliposema bendera ya CHADEMA imefanana na SANDA.

View attachment 136664

Kuyaongea hayo ni haki yake kwani hajitambui nafasi yake ndani ya FAMILIA yake na TAIFA kwa ujumla
 
sasa ndio wanajaribu zuga kwa hadi zake za mwaka jana..km hawakuwa na mkutano mbeya inamaana wasingetoa..na wanawapa maccm wenzao tuu?
 
ahaha! naona kaanza taarabu, wapi papaa mbowe! asa kutajana majina ndo kuishiwa sera au?

Mkuu kama kuna kosa kubwa ambalo limewahi kufanywa Tanzania.. Ni kuchagua mtu kutoka upande huo..

Ni watu wakupenda Sifa,Wanawake,Maneno ya vibarazani, Wavivu,Wapenda safari,Washirikina..Hawafananishwi hawa..

Hata mji wao umeendelezwa na watu kutoka Mikoa mingine..Sasa watawezaje kuleta Maendeleo ya Nchi nzima..Aaahh

Kuna yule musician anajiita kocha Haya ndiyo yalimwangusha ..hata sijui yuko wapi..Heheee 😀
 
Kwa hotuba hii Nape kapewa rungu... Sasa Lowassa atapumulia mashine

lowasa ana nguvu kuliko ccm jk mwenyewe kamgusa kwa kujikuna sana afadhari makonda alijitahidi kubana ushuz japo naye tunajua atachekea chooni.
 
Mkuu kama kuna kosa kubwa ambalo limewahi kufanywa Tanzania.. Ni kuchagua mtu kutoka upande huo..

Ni watu wakupenda Sifa,Wanawake,Maneno ya vibarazani, Wavivu,Wapenda safari,Washirikina..Hawafananishwi hawa..

Hata mji wao umeendelezwa na watu kutoka Mikoa mingine..Sasa watawezaje kuleta Maendeleo ya Nchi nzima..Aaahh

Kuna yule musician anajiita kocha Haya ndiyo yalimwangusha ..hata sijui yuko wapi..Heheee 😀
haaa haaa, tatizo watanzania tumelala mno mpaka madhaifu wanaingia ikulu!
 
  • Thanks
Reactions: prs
Amemaliza bila kutaja Lowassa na kinachoendelea kwenye chama chake.....

Yaani JK janga la kitaifa na zigo kubwa. Anaacha watoto wake wanauana pasi kusuluhisha. Ama kweli magamba mmepatikana na mwenyekiti wenu huyu asiye na maamzi kwenye chama chake na nchi kwa ujumla. Upande wa CDM ashukuriwe maana ni dhahiri naye kaona ccm imewanyonya vya kutosha wanyonge hivyo CDM imerahisiwa njia ya kuongoza Ikulu na nchi kwa ujumla na hatimaye rasimali za nchi zilejeshwe mikononi mwa raia.
 
Maji ni kipaumbele chetu cha juu kabisa

Vipi Santuri ya 'Kilimo Kwanza' imeharibikia katika mitambo kabla ya final production? Kweli CCM na JK noma kwa usanii wa kisiasa. Hii ndio inaitwa 'Kikweteism' (hapana shaka vijana wanaoibukia katika uwanja wa political science mnaweza kuanza kuifanyia kazi!)
 
Amegawa kadi kwa wanachama 16 kesho uhuru na habari leo wataandika wanachama wapya 49,000 .....
 
Back
Top Bottom