Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

Kajinga weee, kapuuzi, ninafatilia mikutano ya Lissu kila siku YouTube , ikiwa Live au lah .



Unakuta Ulisoma kwa kuunga ungaa sababu kichwan umejawa na ujinga na matope

Ukajikongoja weeeeee mpaka umefika hapo..

Sasa hiyo haiondoi ukweli kua, uwezo wako wa kichwan ni mdogooo mdogoooooo sanaaaa.

Alafu bado ukawa mwanaCCM ..

Ndo kabisa, ukazidi kuongeza utahira kwenye kichwa kilichojaa minyoo namatope
Duh...huenda unanyofoa mpaka nywele zako kwa hasira ukiwa nyuma ya keyboard...tehteh...mitusi miiiiiingi...pole....kwamba picha zinakuwa edited...ukisoma ripoti ya Amsterdam iliyovuja hiyo ni dhahiri...
 
Kapumbavu...

Nmesoma Udaktari miaka mitano kavu .

Mwaka Mmoja wa internship


Nina ikubali CDM kwelikweli

Na sio mimi tu, Wote wasomi wa Nchi hii. Ambao tulijaliwa Akili kubwa vichwan,... huwez kuta anaikubali CCM hata siku moja.

Njoo Twitter uko kwenye watu wenye maakili mengi .

Ndio ujuwe ,MTAJI WA MACCM NI MAPUMBAVU NA MATAHIRA NA MAJINGA KAMA NYINYI .
Nimesoma na mi ni engeneer, we ni mpumbavu aliemaliza masomo yake na sie alie elimika, mtu alieelimika sikuzote anakubali vitendea kazi vilivyopo na sio jina la chama, huwez kusema unaelimika kwa kuichukuia na madudu waliofanya nyuma, na huwez kusema unaipenda CDM kisa wanapinga kama vichaa, kuna kati ya hivi vitu viwili, ni either yur stupid with a degree au umeisingizia degree na we ni mlevi kama walevi wenzako wengine, msomi sikuzote anapinga kwa hoja na sio kuropoka
 
Hiyo ni mpaka wafanye editing ya picha na video, hawafanyi live streaming kuna wakati wanazomewa na wananchi. Waambie wafanye live streaming uone wanavyoumbuka.

Hata JPM huzomewa.
-
Na mara nyingi watu wanaozomea wanakuwa wametengenezwa .
-
Na huwa wanakaa sehemu moja.
-
Acheni unafiki, penye ukweli weka ukweli. TL amekuwa tishio na anawakilisha hisia za Watanzania wengi sana .
 
Back
Top Bottom