Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

LEMA: Polisi walikuja kwangu na mabomu na risasi kama mhalifu nikaficha ushahidi wangu wote kwenye Jamii Forums, Facebook, YouTube na Aljazeera. Kazi ikabaki kwy simu yenye ushahidi mke wangu akanipa maarifa pa kuificha kwa kumvisha mtoto pampers!!!
unasomeka mkuu..
 
Lema: Nilipopelekwa polisi usiku ule nikawaambia polisi wachukue dvd iliyorekodiwa siku ya tukio la uhasibu ili wajue kosa langu, liwasaidie kwenye kesi.
 
REVELATION:
Mke wa Lema aliificha simu iliyokuwa na SMS ya Mulongo kwenye 'pampas' ya mtoto wao mchanga siku Polisi walipoivamia nyumba yao!

Mke wa lema nampa vyeo vifuatavyo

.mke wa kamanda lema, kamanda mama watoto wa lema
.kamanda shemeji
 
REVELATION:
Mke wa Lema aliificha simu iliyokuwa na SMS ya Mulongo kwenye 'pampas' ya mtoto wao mchanga siku Polisi walipoivamia nyumba yao!

Mulongo asivyo na akili anaweza leo usiku akatuma askari wakamteke mtoto mchanga na pampas zake zote.... ha ha ha aaa...!!!!
 
  • Thanks
Reactions: WFM
Umetumia kipimo gani? subiri uchaguzi unaokuja ndio useme hayo. usijejiingiza mkenge kama viongozi wetu wanaokana leo halafu kesho wanaanza kuficha taarifa na kuogopa kwenda kwa wananchi. Kuwa mpole kwanza

wananchi au wewe unayenufaika na mfumo wa ovyo.maisha yanazidi kuwa magumu wakati mafisadi ndani ya ccm wanamaliza rasilimali kama madini tembo nk et ccm original l wish ningekuona live usiye na aibu nchi inayumba coz ccm
 
makamanda najua humu akina thomas tupo kibao naomb mtusaidie
 
LEMA: Pamoja na maaskari kujaa uwani kwangu baada ya kuruka ukuta, Nilitoka kwangu baada ya magari na pikipiki za wafuasi wa CHADEMA kama mia kujaa kwangu nikajua hapa niko salama. Nilipotoka nilimpa DVD ya matukio ya chuoni kama zawadi.
 
Lema: OCD akaniita akaniuliza ulikuwa na maana gani uliposema dhambia kubwa kuliko zote ni uwoga? Nikamjibu nilikuwa namaanisha hiyo hiyo. Akaniambia nipo serious, nami nikamjibu nami nipo serious
 
Lema: sasa naongeza lingine!
Mkuu wa mkoa aliingia chuo cha uhasibu kama anakwenda kwenye shindano la u miss.
Namwambia Mulongo akitaka kuleta mchezo, naweza hata mke wake kadi ya chadema
 
AJABU NA KWELI!
Katika mkutano wa leo Polisi wako na 'video camera' wakirekodi yanayojiri!
 
Lema: hawa wapumbavu walichonifanyia mimi siyo bahati mbaya, ni mkakati wa kumpiga mchungaji londoo wagawanyike
 
LEMA: Hakika mkuu wa mkoa alipokuja Mkoani Arusha alisema amekuja hapa atahakikisha anashusha bendera zote za CHADEMA ARUSHA. Sasa akiendelea nitahakikisha namkabidhi mkewe kadi ya CHADEMA.
 
We are the People..

In addition to this,....The people of power and very powerful ones.

We are not cowards of the county:behindsofa:

We want our rights back.
 
Hakika umati huu unatoa hamasa jamani.
 
Back
Top Bottom