Nimerudi ofisini mara moja ni vema ukatuambia anasema je kuhusu majangili....
Makamanda wa Arusha nimewakubali kwa update...Yani mnanifanya nijiihisi nipo home town Arusha..
cc Arusha one
Liverpool fc
Crashwise
Mungi
Ah! Mtafanya mikutano hata kumi kwa wiki lakini wananchi tumejua CHADEMA hawaitakii mema nchi yetu.
Niko eneo la tukio viwanja vya Ngarenaro watu ni wengi sana licha ya kuwa hali ya hewa sio nzuri(mvua inaweza kunyesha wakati wowote)lakini raia wameapa kukaa hata ikinyesha mvua ya matofali
Nitaeleta update zote
Chukua Chako Mapema: Chama Cha Mafisadi: Chama Cha Magamba:Chama Cha Majangili: (CCM)
LEMA: CHADEMA hatutafanya uchaguzi wa kata nne kati ya tano ambazo hazina uwakilishi halmashauri bila kuijumlisha kata ya SOMBETINI ambako Alphonce Mawazo alijitoa CCM akiwa diwani wao na sasa yuko CHADEMA tangu April last year na TAMISEMI wanajua.
Mulongo asivyo na akili anaweza leo usiku akatuma askari wakamteke mtoto mchanga na pampas zake zote.... ha ha ha aaa...!!!!