Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Milya: Mahakama isikubali kurubuniwa na hawa wahuni wa ccm
 
James Millya: mahakama msipakwe uchafu wa ccm, tuna imani sana na mahakama na mahakama itende haki bila kupendelea ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Daudi Mchambuzi

Nafikiri ya kwamba unamwona Milya vema!

Nipo upande wa Kaskazini mwa jukwaa!

Mkuu niko huku barabarani pembeni ya gari la polisi kuna askari anarekodi mkutano mzima na video kamera namtazama hapa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kamanda Kalisti: Tunamwambia Lema atakutana na wahuni wengi wa aina ya Mulongo, lakini mwisho wao umefika.
Madiwani wa ccm wamekuwa wezi wakiongozwa na meya feki. Tunaomba wananchi watuunge mkono kwenye uchaguzi wa kata nne ili tuwaondoe hawa mchwa kwa idadi ya kura
 
Bush: 1,340,000,000 (1.34 BN) hazijulikani ziliko katika halmashauri ya Jiji. Chagueni madiwani wa CHADEMA.
 
ulikuwa hujui sweetlady? Tena ya watu wa arusha yana deal sana baada ya kupeleke ya watu wa iringa na mbeya wameshauri hayo hayafai wapeleke ya watu wanao kaa karibu na hao tembo na pia yawe na rangi nyekundu

Nilikuwa sijui..... Kumbe ndio mana majuzi waliamua kuyavizia ya kamanda Lema....
 
Mwenyekiti wa Wilaya Efatha Nanyaro:
kwa kuwa TAMISEMI bado inamtambua Alphonce Mawazo kama diwani wa Sombetini, tutamuita aje aingie kwenye vikao vya halmashauri kama diwani wa CHADEMA!
 
Ephata Nanyaro: Mkuu wa wilaya naye anaingilia ukusanyaji ushuru katika soko la Kilombero.
 
Maneno ya Nanyaro yanasema Mkuu wa wilaya hana mamlaka ya kuingilia mambo ya Halmashauri na huyu mkuu wa wilaya wa hapa wilayani yake ni ngumu!
 
Nanyaro: Tunaenda kuanza kampeni za uchaguzi ambao utakuwa ni uchaguzi wa ubadhirifu na uadilifu.
Mkuu wa wilaya na mkoa wanaingilia shughuli za manispaa, nikamwendea mkuu wa wilaya nikamwambia kama anataka kazi za manispaa aende akagombee udiwani. Wamezuia uchaguzi wa sombetini kihuni. Leo tumeandika barua tamisemi, tumewaambia wasipotangaza uchaguzi wa sombetini tutamwita alfonce mawazo aendelee kuwa diwani wa kata ya sombetni. Mkuu wa wilaya anadiriki kuingilia ukataji ushuru wa soko la kilombero, anawateua akina Jumanne Mjusi mwizi anayejulikana hapa mjini ndiyo wanakusanya ushuru watu wahuni.
 
LEMA: Polisi wekeni kamera vizuri...Hakuna kulala mpaka walale wao.
 
LEMA: Arusha tuna mkuu wa mkoa mpumbavu SANA.
 
DSC05022.JPGDSC05023.JPGDSC05025.JPG
picha za mkutano wa chadema Ngarenaoro Arusha sasa hivi
​
 
LEMA: Arusha tuna mkuu wa mkoa mpumbavu SANA..
 
Back
Top Bottom