Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Lema: polisi wekeni kamera vizuri kwa sababu ndiyo naamza kuongea. Mkuu wa mkoa aje na familia yake waweke kamera vizuri.
Arusha tuna mkuu wa mkoa mpumbavu. Huyi mpumbavu ameniandikia meseji hii naombeni muisikie " umeruka kihunzi cha kwanza ulikojificha nitakupata nitakupa kesi ninayotaka"
Ndugu zangu uhasibu mwanafunzi aliuawa, nikampigia huyu mkuu wa mkoa mpumbavu simu ili aje kwenye tukio. Cha ajabu huyu mpumbavu alichelewa kufika, na hata alipofika alikuja anakuja kimiss utafikiri anaingia kwenye send off.
 
Nafarijika sana kuona hii nyomi,ngoja nijiburudishe na kinana baridi hapa
 
Nanyaro: Tunaenda kuanza kampeni za uchaguzi ambao utakuwa ni uchaguzi wa ubadhirifu na uadilifu.
Mkuu wa wilaya na mkoa wanaingilia shughuli za manispaa, nikamwendea mkuu wa wilaya nikamwambia kama anataka kazi za manispaa aende akagombee udiwani. Wamezuia uchaguzi wa sombetini kihuni. Leo tumeandika barua tamisemi, tumewaambia wasipotangaza uchaguzi wa sombetini tutamwita alfonce mawazo aendelee kuwa diwani wa kata ya sombetni. Mkuu wa wilaya anadiriki kuingilia ukataji ushuru wa soko la kilombero, anawateua akina Jumanne Mjusi mwizi anayejulikana hapa mjini ndiyo wanakusanya ushuru watu wahuni.
 
LEMA: Nilitumia lugha na hekima ya hali ya juu kuwatuliza wanafunzi pale CHUO CHA UHASIBU, nikamuita mkuu wa mkoa kama mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa, akaja kwa madaha kama anaingia kwenye shindano la U-MISS, akazomewa na wanachuo akachukia
 
Lema: Mulongo anadiriki kuniuliza unanijua mi nina? Nikamjibu nakujua we ni mkui wa mkoa na mimi ni mbunge, mimi nimechaguliwa na msururu wa watu wamepiga foleni kunichagua wewe umekuja kama kiota.
 
Lema: Field Force na wamama wawili wa USALAMA WA TAIFA waliniokoa wakati mabomu yanapigwa chuoni.
 
Mkuu Arusha one tafadhali wajulishe mods wabadilishe heading. Badala ya Yaliyojiri iwe "Yanayojiri" inachanganya sana..
 
Last edited by a moderator:
Ccm ni majizi na majambazi! Puuuuuuuuuuuuuu! Kwa kweli walongo na walozi ni watu wakuchomwaaaaaaaaaa! Period!
 
nafarijika sana kuona hii nyomi,ngoja nijiburudishe na kinana baridi hapa


dahhh sisiemu kwa mtaji huuu, lazima waroge sana 2015, wale waganga wao wa misukule wa kilindi, mikese na rufiji pale watakuwa mabilionea 2015... kazi ni kwenu mafisadi. kila kitu kina mwisho

kinana sijui anajisikiaje akiona hivi, anawishi hawa wote wangekuwa tembo au ndovu.. tehhhhh

peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


....powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr​
 
REVELATION:
Mke wa Lema aliificha simu iliyokuwa na SMS ya Mulongo kwenye 'pampas' ya mtoto wao mchanga siku Polisi walipoivamia nyumba yao!
 
Lema: Nilisikia askari wanatafuta simu yangu, mke wangu akanambia namwongezea mtoto pampas, halafu simu tunaificha kwenye pampas. Halafu wakiingia ndani nitamfinya mtoto akianza kulia naanza kumbembeleza wasijue la kufanya. Nikwambia mke wangu una akili sana.
 
G.Lema: unapoongea na wanachuo inaitaji saikoloji na sio mbwembwe.
Kama kiongozi ukifika mahali watu wana jazba inahitaji ujishushe kama kiongozi na mimi nilijishusha nikawatuliza wanachuo.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
LEMA: Polisi walikuja kwangu na mabomu na risasi kama mhalifu nikaficha ushahidi wangu wote kwenye Jamii Forums, Facebook, YouTube na Aljazeera. Kazi ikabaki kwy simu yenye ushahidi mke wangu akanipa maarifa pa kuificha kwa kumvisha mtoto pampers!!!
 
Back
Top Bottom