Hapo kwenye red Kiongozi,nakwambia hata wangechukua video Nchi nzima nakwambia hakuna kumwogopa kuzi yeyote!
Hapa ni kubanana mpaka kieleweke!
Si unajua ujinga wa fikra, wametumwa kulima kwa hiyo wakiona wanatoka sana jasho watajua jamaa wamelima sana.Kumbe hamna kitu ili hali ilitakiwa ukague wapi alipolima!