Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

MAGOMA A. MAGOMA aliyekuwa m/kiti wa vijana mkoa amesema atagombea udiwani kata ya KIMANDOLU.
NDG. C. MKAPA aliyekuwa katibu wa CHADEMA Arusha amesema atagombea udiwani kupitia kata ya ELERAI.
 
Tatizo lema anadhani watu wanamshangilia kisa yeye ni kiongozi!
 
Saaaaaaaafi sana makamanda. Safari hii hakuna rangi wataacha kuona.
 
MAGOMA A. MAGOMA aliyekuwa m/kiti wa vijana mkoa amesema atagombea udiwani kata ya KIMANDOLU.
NDG. C. MKAPA aliyekuwa katibu wa CHADEMA Arusha amesema atagombea udiwani kupitia kata ya ELERAI.

kumbe ni mkutano wa kutangaza nia?
 
Dawa zote ziandikwe weka mbali na watoto na "TEMBO WETU WEKA MBALI NA KINNANA" Kinana ni hatari kwa TEMBO kuliko HIROSHIMA

na wewe ni hatari kwa uhuru wa kutoa mawazo kwa vile unaoongea vitu usivyo na ushahidi navyo na kwa kejeli.
 
Mwl. Alphonce wa THEMI atagombea kata ya THEMI.
DAMUMI MALEMARI naye atagombea ELERAI.
MCH. RAYSON ATAGOMBEA naye Kimandolu.

EMANUEL KESSY atagombea KALOLENI. Pia Jamal Milanzi atagombea KALOLENI
 
Mimi natangaza nia kimandolu ila nikipigwa chini ni demokrasia.
 
Naona kadri muda unavyosogea ndiyo watu wanafurika sijui kama uwanja huu utosha.
 
ROGERS Mchezaji wa zamani wa NDOVU atagombea kupitia KATA YA UNGA LTD.
 
Naona Sabrina Fransis ambaye ni Diwani wa Kata ya Oloirieni anatoa mawaiza yake.↲
 
Kunana ni Mwizi wa Meno ya Tembo kama unaona kaonewa wahi mahamani. Kilaza weeeeee
 
Wanaoitakia mema nchi ni wale wanaongoa tembo meno

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Inaelekea kinakuuma sana ukisikia kibosile wako ni KIBAKA wa Meno ya Tembo.
 
Mwl. Alphonce wa THEMI atagombea kata ya THEMI.
DAMUMI MALEMARI naye atagombea ELERAI.
MCH. RAYSON ATAGOMBEA naye Kimandolu.

EMANUEL KESSY atagombea KALOLENI. Pia Jamal Milanzi atagombea KALOLENI
Hapo patamu siujui watakaba vipi MaCCM
 
Back
Top Bottom