Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Lema: Mulongo wakati nilipovuliwa ubunge alinipigia simu kuwapongeza majaji. Baada ya kushinda rufaa nikampigia simu kumwuliza vp amesahau namba yangu mbona haumipi pongezi?
Mimi ni diplomat, Mulongo si diplomat, anwakilisha kikwete.
Sheikh Ponda amenyimwa dhamana kihuni na wapuuzi.
 
Mwambie yule shoga aliyekwenda kwenye send-off pale uhasibu aende kumkamata tena Lema atakapoanza kuongelea tembo zetu ambazo Kinana anazikarabati meno na kuziacha kama bibi kidude.,...Mulongo na mulozi ni mutu yakuchomaaaaaaeeeee!!

aaaah hahahaaaa we umevunja mbavu zangu kamanda inamaana kinana anakarabati meno ya tembo siyo?
 
Kamanda anasema kesi ya ponda ina dhamana lakini ni uhuni tu umefanyika
 
Lema: sasa naongeza lingine!
Mkuu wa mkoa aliingia chuo cha uhasibu kama anakwenda kwenye shindano la u miss.
Namwambia Mulongo akitaka kuleta mchezo, naweza hata mke wake kadi ya chadema
Aisee,
Mkatazeni bana, ataharibu kesi ambayo tayari iko mahakamani.
 
Lema: siogopi kitu chochote siogopi kikombe hiki kukibeba.
 
Kesi ya Shehe ponda ina dhamana ila kutokana na serikali ya mafisadi hakika wamemnyima dhamana!

Hayo ni kauli mojawapo ya Mh. Kamanda G. Lema
Hakika Mbunge yupo makini zaidi ya!
 
LEMA: Kesi ya sheikh PONDA ina dhamana kisheria ila DPP anafanya uonevu kwa ajili tu ana cheo anachokitumia vibaya. Usimfanyie mtu mwingine kitu ambacho hupendi kufanyiwa wewe.
 
Uchaguzi wa kata ya Sombetini uitishwe mapema, hatutaki mizengwe ya kuwanyima watu fursa ya uwakilishi
 
LEMA: Chumba cha mahabusu Arusha watu wamekaa lock-up kwa siku 46, wengine wameingia kwa kosa la wizi wa simu ila wamefunguliwa kesi ya wizi wa kuiba kwa kutumia bunduki.
 
LEMA: Chumba cha mahabusu Arusha watu wamekaa lock-up kwa siku 46, wengine wameingia kwa kosa la wizi wa simu ila wamefunguliwa kesi ya wizi wa kuiba kwa kutumia bunduki.

Duuuh...... Aisee, hadi huruma khaaa
 
Back
Top Bottom