Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

CRISPIN TARIMO diwani wa Sekei: Mkuu wa mkoa anaingilia utendaji wa baraza la madiwani Arusha. Alishawaita madiwani wa CHADEMA kwny kamati ya maadili kwa ajili ya kusema ukweli pia diwani wa Ngarenaro aliye pia m/kiti wa madiwani wa CHADEMA alitishwa
 
...roho kwatu,nasubiri makombora ya makamanda wa ardhini,kama vipi nikamate kasuku a.k.a fast jet
 
na wewe ni hatari kwa uhuru wa kutoa mawazo kwa vile unaoongea vitu usivyo na ushahidi navyo na kwa kejeli.

Inaelekea kinakuuma sana ukisikia kibosile wako ni KIBAKA wa meno ya Tembo. Na sasa roho itakuwa inamuuma hakuwahi ule Mzigo wa Rombo wale Tembo waliotokea ifadhi ya Tsavo Kenya.
 
Fundikira yupo jukwaani!

Anasema atasema ukweli ndani ya ccm na watu wake!

Anauliza uwekezaji ni nini?

Anafafanua uovu wa ccm ndani ya Taifa.
 
CRISPIN TARIMO diwani wa Sekei: Mkuu wa mkoa anaingilia utendaji wa baraza la madiwani Arusha. Alishawaita madiwani wa CHADEMA kwny kamati ya maadili kwa ajili ya kusema ukweli pia diwani wa Ngarenaro aliye pia m/kiti wa madiwani wa CHADEMA alitishwa

na baada ya kutishwa walichukua hatua gani? Au ndo "stori" za jukwaani?
 
Inaelekea kinakuuma sana ukisikia kibosile wako ni KIBAKA wa meno ya Tembo. Na sasa roho itakuwa inamuuma hakuwahi ule Mzigo wa Rombo wale Tembo waliotokea ifadhi ya Tsavo Kenya.

hainiumi kwa vile wananchi wanajua CHADEMA kwa kupaka watu matope hawajambo. Its the matter of facts. People knows.
 
Mzee Fundikira: Serikali ya CCM inadanganya kuhusu uwekezaji, wametugeuza wananchi wa TANZANIA wajinga kwani wataacha tu mashimo kwenye machimbo ya madini.
 
James Millya: niliondoka ccm sababu ya uhuni wa ccm.
Mulongo alikua ni mjumbe mwenzangu mpuuzeni na msameheni amezawadiwa madaraka na yeye anawatumikia waliomzawadia.

James Millya: ccm ni wahuni watu wa arusha tusiumie sana, tuwe na umoja 2015 tunawamaliza.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
James Ole Milya jukwaani

Anasema mawili matatu.

Anasema aling'atuka ndani ya ccm na amefanya na Malongo na asamehewe bure tu kwani amewekwa madarakani na anawatumikia waliomtuma!
 
James Ole Milya: nilishafanya kazi na Mulongo NEC, anawatumikia waliomtuma, msameheni.

Ole Milya: diwani asipohudhuria mikutano kwa muda fulani hufutwa kazi. Kwanini kata aliyokuwa anawakilisha Alphonce Mawazo ya Sombetini hakufanyiki uchaguzi?
 
Diwani wa Sekei mh. Tarimo: Mkuu wa mkoa wa Arusha hajui kazi yake wala mipaka yake ya kazi. Anaingilia baraza la madiwani.
Mwe.yekiti wa madiwani mh. Doita: mkuu wa mkoa alienda uhasibu kama anaingia kwenye send off.
Ole Milya: Niliondoka ccm baada ya kugundua ni wapuuzi. Nimefanya kazi na Mulongo, msameheni na mpuuzeni.
Mawazo aliondoka ccm baada ya mimi kuondoka ccm. Kwa kanuni diwani asipohudhuria vikao vitatu kata inatangazwe wazi. Alfonce Mawazo amekwenda kupambana kule kanda ya ziwa na hajahudhuria mikutano zaidi ya 100 lakini ccm wanasema bado ni diwani.
Ukombozi wa nchi hii umekaribia, sote tushikamane.
Nampa moyo ndugu yangu Lema, endelea kupambana tuko nyuma yako. Mimi ni wakili naheshimu mahakama. Tunaomba mahakama itende haki.
 
Ole Milya: Mimi ni wakili na tuna imani na mahakama, tunaomba mahakama isipakwe uchafu.
 
Back
Top Bottom