Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

wekeni picha wakuu hawa wazee wanaolipwa 7000 na Nape ni wagumu sana kuelewa kuwa tumeichoka sisiem!
 
ulikuwa hujui sweetlady? Tena ya watu wa arusha yana deal sana baada ya kupeleke ya watu wa iringa na mbeya wameshauri hayo hayafai wapeleke ya watu wanao kaa karibu na hao tembo na pia yawe na rangi nyekundu
 
Pickup ya police iliyokuwa hapa imeamua kuondoka baada ya wingi wa watu kusikika mara kwa mara wakisema hapa hatutaki ulinzi wowote na hata inzi hafi.

Na wameamua kuondoka bila hata majibizano yoyote ile na raia.
 
Kha ha ha ha ha haaaaaa!!

sweetlady kwa muda huu nipo eneo la tukio na hapa mpaka muda huu hakuna Kamanda aliyefika ila hakika nyomi ya watu ni kama kawaida kabisa na kwa jina la aliye juu Mi cjui utawaambia WanaCDM nini waweze kuiacha uzalendo wa chama hii ya Jamii watu wazidi kadri muda unavyokaribia.

Naona magharibi kwangu kuna pickup ya police imeweka kambi na huku watu wakisema hatutaki ulinzi hapa zaidi ya MUNGU mwenye mamlaka!

Nitarudi.........!

Tupo pamoja..
 
Last edited by a moderator:
Hii ni tactic nzuri munoooooo......Ni kupiga kila kona tena bila huruma mpaka 2015, hakuna kulala!
 
Arushaone rushia picha mkuu, tunapenda kushuhudia nasi ambao tuko mbali.
 
Ndy naelekea uwanjan kushuudia yale mulongo alikuwa anajidai nayo hata kuamuru polce wamkamate lema.
 
Gari la matangazo lililokuwa kimya sasa imeanza matangazo sawia kabisa.
 
Umeshafika Lumumba street kupokea chako siyo? Ama jana umelalia mshipi nini?

Mtumwa mjinga wewe unatoa mapofu humu mpaka unanuka,na hata hauna haya na ujinga wako unaopost!

Kumwelimisha mpumbavu ni sawa na kujaribu kutakatisha tambara la kudekia
 
Naona Kamanda Mheshimiwa G. Lema anaingizana na watu waliofurika pasipo na mfano wakishangilia bila kikomo na hakika G . Lema ni jembe la kuitokomeza ccm.
 
Dawa zote ziandikwe weka mbali na watoto na "TEMBO WETU WEKA MBALI NA KINNANA" Kinana ni hatari kwa TEMBO kuliko HIROSHIMA
 
MAGOMA A. MAGOMA aliyekuwa m/kiti wa vijana mkoa amesema atagombea udiwani kata ya KIMANDOLU.
NDG. C. MKAPA amesema atagombea udiwani kupitia kata ya ELERAI.
 
Naona Makamanda wanajitambulisha na hakika wameapa kwamba hakika Kata zote zinazorudiwa uchaguzi yote yanarudi ndani ya CDM bila pingamizi!
 
Vipi Shamba Boy Mulongo atathubutu kunusa eneo la tukio kweli au ndio watamfanya kitoweo.
 
Back
Top Bottom