Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

Ni mahafali au tafrija ya vijana wa chadema wanaomaliza vyuo? Kuna mkuu wa chuo chochote hapo?
 
Daah kutoka kuingia Ikulu mpaka kuingia Karimjee kugawa vyeti kwa wahitimu..?
Leo tutajua kama alisomea sanaa na atakuwa nje ya mada baada ya kuzungumza kuhusu elimu ataleta siasa.
Ndio mnavyowewesekaga hivyo
 
Wamemshusha mzee wa watu hadi basi kuna siku tutasikia ni mgeni rasmi kwenye mahafali ya watoto wa nursery school
Mkisikia jina la lowasa mnakosa raha na naamini woote mpo mnasikilizia nini ataongea na kazi leo maofisini hazifanyiki
 
Ni siku ya pekee iliyokuwa inasubiriwa na watanzania walio wengi ambapo Mh Edward Lowasa ataongea na watanzania kwenye sherehe maalumu kutoa vyeti kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali ambao ni wanachama wa CHADEMA mnakaribishwa ukumbi wa Karimjee asante sana kamanda Molemo kwa kutuwekea update live
HAO WATANZANIA WENGI KINA NANI???????MNAPENDA KUJILIWAZA KWELI
 
WanaJF

Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi.Jiji la Dar es Salaam lina pilikapilika kama kawaida huku kukiwa na hali nzuri kabisa ya hewa huku jua likiwa linawaka katika kona zote za jiji.

Katika ukumbi huu wa Karimjee tayari kumepambwa kwa mapambo ya rangi nyekundu,bluu,nyeusi na nyekundu kuashiria tukio kuu la Chama cha Chadema.

Ni katika ukumbi huu yatafanyika mahafali ya vijana wanavyuo wa Chadema wanaohitimu katika vyuo kadhaa DSM

Mgeni rasmi katika tukio hili ni Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.Tayari ukumbi umefurika idadi kubwa ya waandishi wa habari huku kukiwa na ulinzi imara wa Red Brigades.

Tuko hapa ukumbini kuwaletea kila kitakachojiri...Karibuni sana..
LA KUFA HALISIKII DAWA CDM MMEFIKIA HUKO
 
Tulia dawa ikuingie wewe wakijani aka michicha
hahaaaaaaaa ...


yaaaan siasa inashangaza sana lazima kujitoa ufahamu ili upate tonge ...chadema ilikuwa ya slaa xaxa hivi hewa mmeuzwa ...na mpiga pexa mbowe
 
Back
Top Bottom